Kwanini wadada wa Arusha & Kilimanjaro wanaanza kunywa pombe wakiwa na umri mdogo?

mkuu fafanua wajumbe wengine waelewe
Nionyeshe Mwanamke mlevi asogongeka kirahisi .

Kwa ufupi hawa walevi wanafaa kwa matumizi tu.

Lkn huwezi hesabu chochote cha faida juu yao.

Wambie wasinifokeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sawa mjumbe, kumbe ni utamaduni na sio sababu ya baridi
Ni kiutamaduni tu Cha watu mama tangia mjamzito anapiga mbege, akizaa wakati wa kunyomyesha akinywa mbege maziwa yanatoka Hadi kumwagika mtoto anakuwa huku kashaanza kunywa mbege, so akikua ni kawaida, Wala sio baridi
 
Mikoani Mbege,wanzuki,komoni,ulanzi ni vitu vya kawaida hasa mikoa yenye baridi .
 
Nionyeshe Mwanamke mlevi asogongeka kirahisi .

Kwa ufupi hawa walevi wanafaa kwa matumizi tu.

Lkn huwezi hesabu chochote cha faida juu yao.

Wambie wasinifokeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hapa wajumbe washakuelewa.
 
Ni kiutamaduni tu Cha watu mama tangia mjamzito anapiga mbege, akizaa wakati wa kunyomyesha akinywa mbege maziwa yanatoka Hadi kumwagika mtoto anakuwa huku kashaanza kunywa mbege, so akikua ni kawaida, Wala sio baridi
ahsante sana mkuu, maelezo ya kina sana nadhani wajumbe wote washaelewa.
 
Mikoani Mbege,wanzuki,komoni,ulanzi ni vitu vya kawaida hasa mikoa yenye baridi .
sio yote mkuu, mikoa mingine wanautaratibu wakula viporo vya ugali na viazi vitam
 
Back
Top Bottom