Ni kiutamaduni tu Cha watu mama tangia mjamzito anapiga mbege, akizaa wakati wa kunyomyesha akinywa mbege maziwa yanatoka Hadi kumwagika mtoto anakuwa huku kashaanza kunywa mbege, so akikua ni kawaida, Wala sio baridi
Nilibahatika kutembea mkoa mmoja nikashangaa watoto wazuri wadogo wanalewa kumbe na wao wananishangaa mie kua na umri wangu wote dume zima situmii pombe wala starehe yoyote ile.nikaishia kuitwa sheee mpemba.