Kwanini wadada wa Arusha & Kilimanjaro wanaanza kunywa pombe wakiwa na umri mdogo?

Kwanini wadada wa Arusha & Kilimanjaro wanaanza kunywa pombe wakiwa na umri mdogo?

Mikoani Mbege,wanzuki,komoni,ulanzi ni vitu vya kawaida hasa mikoa yenye baridi .
Kwetu huko, komoni, wanzuki, ulanzi, myakaya, northern highlands, kwa chini kidogo, na baridi la haja lipo kwa sana tyuuh.
 
Ni kiutamaduni tu Cha watu mama tangia mjamzito anapiga mbege, akizaa wakati wa kunyomyesha akinywa mbege maziwa yanatoka Hadi kumwagika mtoto anakuwa huku kashaanza kunywa mbege, so akikua ni kawaida, Wala sio baridi
Nilibahatika kutembea mkoa mmoja nikashangaa watoto wazuri wadogo wanalewa kumbe na wao wananishangaa mie kua na umri wangu wote dume zima situmii pombe wala starehe yoyote ile.nikaishia kuitwa sheee mpemba.
 
Back
Top Bottom