Kwanini wadada wa Arusha & Kilimanjaro wanaanza kunywa pombe wakiwa na umri mdogo?

Kwanini wadada wa Arusha & Kilimanjaro wanaanza kunywa pombe wakiwa na umri mdogo?

Wazazi walevi, wanakunywa mbele ya watoto wachanga, wadogo, vijana wadogo. Hao vijana wakikua lazima pombe iwe sehemu ya maisha yao. K
Kuna maeneo huko uchagani mfano, vijana hawana hata hizo nguvu za kufanya kazi, achilia mbali nguvu zingine, wao ninkushindia pombe kazi hawataki. Horrible society!
 
Kwanini wadada wa Dar, Tanga, Geita, Mara , Musoma, Chato waanza ngono wakiwa wadogo?
 
Kwa uzoefu wangu. Mdogo wangu wa kike miaka 22 sasa anakunywa pombe.

Issue ni kwamba unazaliwa unakuta baba na mama wote ni wanywaji, so tangu mdogo tayari unaona pombe ni kitu ya kawaida.

Ndo inavokuwa hivo, kuna siku hata mzee anakuagizia kabisa bia. Its normal kwa familia za kichaga, pombe sio dhambi

Ila mimi mpaka leo 30+ sinywi pombe.
 
sio pombe tu waapiga hadi kile cha moshi moshi (ndumu)
nakumbuka nilienda kwenye msiba mmoja wakichaga, mida ya night nilikua nimekaa na wenyeji wangu, wale jamaa walikua kama sita na kila mtu ana sigara kubwa na mbege pembeni 😂😂😂 yan pale kulikuwa kuna wakawaka kama kuna mti wa x-mass
 
Kuna limoja huko Arusha nililiopoa kumbe linavuta bangi,pombe kila aina.Kudaadeki sikulifanya kitu puuzi lile
 
Kuna limoja huko Arusha nililiopoa kumbe linavuta bangi,pombe kila aina.Kudaadeki sikulifanya kitu puuzi lile
kwani wewe unagegeda bange na pombe au papuchi? itakua genye zilikua hazijakukaza vizuri.
 
Haswaaaaah hata vijana wa kiume pia nao ulabu kwa sana, ila napenda wako bright kichwani. Ndo sample za marafiki zangu hao kutoka [emoji3595].
 
Back
Top Bottom