Kwanini wadada wa kizanzibari hawana CHURA?

Kwanini wadada wa kizanzibari hawana CHURA?

Kijana kijana

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
2,546
Reaction score
2,621
Wakuu samahani naomba kuuliza tu,kwanini wadada wa kizanzibari hawana chura asilimia kubwa?

Yani ni wakuhesabu sana ukiona ana chura ulizia utaambiwa eidha mama au baba wa huku tanganyika

Kwanini hili
 
Wakuu samahani naomba kuuliza tu,kwa nini wadada wa kizenzibari hawana chura asilimia kubwa?
Yani ni wakuhesabu sana ukiona ana chura ulizia utaambiwa eidha mama au baba wa huku tanganyika

Kwanini hili
Mkuu nafikiri hawataki kujitesa kuwatafuta hao vyura kwenye madimbwi, lkn hata hivyo vyura wa kaz gani?
 
wanaotaka picha ya chura hiyo hapo
Funny-Frog-Doing-Gymnastic-Picture.jpg
 
Back
Top Bottom