Kwanini wadada wa kizanzibari hawana CHURA?

Kwanini wadada wa kizanzibari hawana CHURA?

wanaotaka picha ya chura hiyo hapo
Funny-Frog-Doing-Gymnastic-Picture.jpg
Ahahaha umetisha mzee baba
 
Nilitaka unijibu kisha nikuulize swali ambalo litamaliza hoja yako ila wewe umeamua kuja na majibu mengine.
Hilo ndo tatizo sasa mkuu.
Ungenipangia jawabu kabisa kabla ya kukujibu na baada ya kukuuliza.

Lakini basi umechelewa mkuu
Namnukuu mzee baba ambae mara nyingi husema "mimi sipangiwi"

Sasa hapo kwenye kauli za mzee namie naongezea neno "kujibu"
 
Ok endelea na Umalaya wako.
 
Wakuu samahani naomba kuuliza tu,kwa nini wadada wa kizenzibari hawana chura asilimia kubwa?
Yani ni wakuhesabu sana ukiona ana chura ulizia utaambiwa eidha mama au baba wa huku tanganyika
Kwanini hili

Mkuu vp ulishaona chura yangu??
 
Wadada wengi huko sio mashabiki wa Yanga.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ndo asili yao makario ni genes tu ya mtu

am better here
 
Back
Top Bottom