Kwanini wadada wanafunga mkanda au kamba kiunoni kwa gauni au baibui au dera?

Kwanini wadada wanafunga mkanda au kamba kiunoni kwa gauni au baibui au dera?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Ni kuonesha shepu? Au nini ? Na kama ni kuonesha shape ili iweje na wengine wameolewa ?

Picha kwa hisani ya Facebook

dera 22.png
 
Tunakata kiuno kionekane
Tuwavutie wanaume wapate vya kutizama
Mwanamke ua la dunia
Kikomo cha kutizama ni kukitumia kile unachotizama.
basi mnapotaka tuwatizame, huwatazama kweli.
Ninyi pia tukihitaji kuwatumia endeleeni na moyo huo huo wa kukubali kutumika!
 
Kwani ww hupendi ukiona hivyo ?
 
Mwanamke kupendeza, mwanamke mvuto na sisi ndio mapambo ya dunia
kwani tukifunga mkanda sijui kamba tunakuwa hatujajistiri?
 
Weka picha
Sisi wengine hatujawahi kuona hayo mafashoni
 
Mkuu... Bila picha kwenye huu uzi, sisi wengine wa Imalamagigo ndandani hatuta elewa kabisa aiseee
 
Kikomo cha kutizama ni kukitumia kile unachotizama.
basi mnapotaka tuwatizame, huwatazama kweli.
Ninyi pia tukihitaji kuwatumia endeleeni na moyo huo huo wa kukubali kutumika!

Unataka kisitumike kiliwe na sisimizi??
 
Back
Top Bottom