Kwanini wadada wanafunga mkanda au kamba kiunoni kwa gauni au baibui au dera?

Kwanini wadada wanafunga mkanda au kamba kiunoni kwa gauni au baibui au dera?

Ukivaa gauni bila mkanda utasikia wee
Unaenda matenity
Ukivaaa mkanda nako shida jamani mtuache tuonyeshe misambwanda yetu
Na tunapenda kwelikweli kuitazama msimsikilize mtoa mada wivu unamsumbua
 
Wakivaa bila mkanda mnawauliza kiuno kipo wapi. Kwahiyo wanapunguza maswali na kuwapa fahari ya macho, kuangalia utukufu wa Mungu jinsi anavyojua kuumba
 
Wakivaa bila mkanda mnawauliza kiuno kipo wapi. Kwahiyo wanapunguza maswali na kuwapa fahari ya macho, kuangalia utukufu wa Mungu jinsi anavyojua kuumba

Haswaaa hakika shabaash correct absolutely right. Tunaangalia uumbaji msiwasikilize hao wachache nchi yenu kwa nini mjibanebane.

Kweli mungu fundi
 
Back
Top Bottom