Asilimia kubwa ya urafiki wa me na ke ni wa mashaka, ama kweliTafuta namna nyingine, huyo bidada unaemtuma na hivi kashakununia usitarajie ataenda kukutongozea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna urafiki kati ya ke na me kwa ninavyoelewa.Asilimia kubwa ya urafiki wa me na ke ni wa mashaka, ama kweli
Kelsea
Huwezi kutembea na kila Mwanamke
[emoji106]Huwezi kutembea na kila Mwanamke
Mwingine anakuwa Mwana kwa sababu ya Dili.
Hivyo Urafiki upo inategemea mindset zenu tu.
Utalipwa, ni kaziπ π π Tongoza mwenyewe bwana, iweje nikutongozee
Kama ni hivyo sawaaUtalipwa, ni kazi
MhhhhhUtakuta nimekutongoza umenikataa ukasema tuwe marafiki na nikakubali, au hata sijawahi kukutongoza ila sisi Ni mabesti, una rafiki wa kike uko karibu naye kuliko mimi
nilivo karibu nae, hivyo mm kukutana nae kumtongoza inakua sio rahisi Kutokana na ugumu wa kimazingira, kwanini tukiwaomba msaada wa kutuunganisha nao kimapenzi mara nyingi hua mnatukatalia?
REAL LIFE STORY:
Kuna mdada nilichukua namba yake, tulichat vizuri tu na kupigiana simu, ila akawa ananiletea head games Na usumbufu, nkiomba tuonane (Aje ghetto) anasema yuko bize, mara aniombe hela ile Siku za mwanzo mwanzo nlivochuka namba, nikaona hapa nimeshakataliwa, sina mtu, nlivotaka kumpotezea full, nikakumbuka huyu mdada ana urafiki na mdada ambaye namuona ana shape kuliko yeye, nikasema sifuti namba yake acha awe kama mshkaji wangu, Nliendelea kuchat naye kisela badae nikamwomba aniunganishie kimapenzi na huyo rafiki yake wa kike, kwasababu mazingira ya mm kukutana na huyo rafiki yake Face to face ni magumu, nimemuahidi hadi kumpa hela nzuri kama akinisaidia hilo jambo, nashangaa nimenuniwa, sms sijibiwi tena, simu zangu hapokei tena, pamoja na kuwa nimemwahidi na kumpa hela akinisaidia kwenye hilo.
Wana-Jf wenzangu, especially dada Zangu wa humu jf, msaada tutani mtu kama huyo nimweleweje?, mbona sisi marafiki wa kiume tunapeana namba za wadada? Na tunaunganishiana Kirahisi?? Depal Kalpana Lenie Demi Cillah Numbisa Kelsea Saint Anne
Sema su!ππ π π Tongoza mwenyewe bwana, iweje nikutongozee
Uwe rafiki yangu basiInategemea, kama sijavutiwa na mdada kimapenzi, hlf mdada yupo social, tunakua marafiki vizuri tu, mm nshawahi kuwa na marafiki wa kike mbona Kelsea
Su! ππSema su!π
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo badili gia angani tena
mtongoze tena yeye
Wanawake huwa hawatukatai ila wanaletaga pozi tu, atakuambia NO ila bado upo kwenye akili yake ndo walivyoumbwa. Kwahyo ukitongoza kwingine anaona kabisa anaenda kukukosa na anaona kama mwenzake atafaidi sanaMimi niliwahi kumtongoza mwenzake mbele yake hivi anaona aisee huo ugomvi uliozuka hapo sio wa nchi hii, wewe nimakutongoza umakataa naanza kumsaundisha mwenzio unaanza kunimind na ugomvi juu tena sio ugomvi mdogo, unamind nini sasa kisa nimekutongoza ukakataa au kunakuaga na kanini kawivu au karoho mbaya?
Pasi ya Chama hiyoAnaona wivu njoo nikuunganishie dada mzuri na mwenye heshima ushindwe weye tuuu...huyo ana muonea gere mwenzie