Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Salam wakuu,

Straight to the point. Kuna jamaa yangu anaitwa bwana X, huyu mwamba anatabia zote za kihuni unazozifahamu. Dazi,tungi, ma tattoo hereni sijui takataka zote na tabia kwa ujumla ni mshenzi pro max. Ana muonekano au haiba ya kuvutia kiukweli msela ila tatizo kubwa mwana uhuni umetamalaki.

Ninachojiuliza ni wimbi la kinadada anavyowapanga kama draft, Tena ni pisi haswaa. Najiuliza hawa wanawake wana akili kweli? Kuna mmoja juzi kati kaenda ghetto kwa bwana X sijui alimzingua nini Akala kichapo heavy mpaka Wana tukaenda kuamulia ugomvi. Cha ajabu, asubuhi mwamba akaja room kutafuta "nali" akaniambia mwanang manzi alilala home bado yuko ghetto and I robbed her (hapo akanionesha mpunga aliokwara kwenye wallet ya manzi).

Yote tisa, kuna dada mmoja anafanya kazi Barclays bank, aisee sijui nisemeje wakuu muelewe uzuri wake ni WA namna gani. Dada ni mlimbwende haswaa, she got everything aisee halafu ni wale tunaita beauty with brains, yuko vizuri sana upstairs. Pia ni wale design kama church girls flani hivi hanaga makuu kabisa hata ugimbi hagusi, Cha ajabu juzi nimemkuta na bwana X katika mazingira ya ukiona manyoya.

Kwa wimbi la mademu wakali anaoruka nao, nashindwa kuelewa jamaa sijui ana dawa ama vipi sababu kama mpunga basi ni ile unga unga mwana, ma manzi wenyewe ndio wana shower fuber on him, lakini anavyowafyatua basi mtu unabaki unajiuliza tu kwamba wadada mnapenda wanaume wahuni? Wasabato hamuwapendi? Hebu tuelezeni hapa ili wasabato basi nasisi tuchange characters tuweze kula mema ya nchi.

Nawasalimu kwa jina la J.M.T

KAZI IENDELEE
 
Endelea kumlalisha shemeji kifo Cha mende huku ukiuombea tendo la uchakataji papuchi baraka za bwana kabla haujaanza......wahuni wao wako direct, .."njoo nikutomb*" kisha humo ndani anakuta style za chuma mboga' 'pepo kanyea mbingu' kuku wa kubanikwa' kunyonywa papuchi nyezi na papuchi kojozi nk
 
Back
Top Bottom