Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Nimeshakutana na Ke wenye misimamo kama yako lakini mwisho waliufyata. Wa mwisho alikuwa mtata hasa lakini alifikia mpaka kuuweka udini rehani ili tu apate kuwa nami, Mimi ndiye nkaona hatari.Teh hata wewe hujapata wanawake kama mimi mkuu labda umezoea wale ambao ukiwafokea wananywea ila kwangu kabhi nahi. Mimi conditions za kukuheshimu ni uwe muaminifu na usimamie majukumu yako tofauti na hapo usitegemee heshima yoyote toka kwangu na ukiniforce tutaonana wabaya asee.
Mdogo wangu jua tu hujapata wa kukuongoza. Mwanamke yeyote ni mwepesi kwa mwanaume anayejitambua.