Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
Wanawake wengi tunapenda Wanaume wanaojiamini Mwanaume mwenye sauti Mwanaume anayethubutu kukuambia sitaki ufanye kitu flan na hufanyi, mwanaume mbabe flan hivi!!
Sio mwanaume wa kila kitu ndiyo yaani unampeleka peleka tu, hapana anaboa.
Jicho la nice boy hapa Kwenye reply .