Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

Kwanini wadada wengi wanapenda bad boys?

Kwa ufupi tu, being handsome is something natural. Ni muonekano mzuri ambao mtu anazaliwa nao. Huo muonekano hauna uhusiano wowote na tabia za muhusika.

Unaweza kua handsome, na ukawa muhuni/bad boy. Na unaweza kua na sura kama ya Chikumbalanga, na ukawa nice guy.

Kua handsome au ugly, ni muonekano wa nje. Kua bad boy au nice guy, ni tabia za ndani.

Usichanganye hivyo vitu!
Uko sahihi
 
Sasa hapo huwezi mpangia mwenyezi mungu, sababu anaweza toka copy ya baba yake.
Itakuwa sio mbaya babake sinime mpenda jamani, sana ataniharibia sura ya mtoto wa kike ndio hufanana na baba
 
Kumbe mnatusimanga kumbe[emoji23] dah!

Shida ni uoga tu lakini kuna mambo ambayo personally mwanamke ana expect wewe ufanye mkiwa close kama tu uchokozi flani tule[emoji3] ila sasa unakuta wanaume wanaoweza hayo ni wale machachari chachari flani!

Wengine huwa wana uoga wa kushushuliwa maybe so anaona huyu atanishushua labda[emoji28] ndio kuishia kupiga story za CCM badala ya kuchombeza

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila we jamaa story za pole pole na nape
 
Bro, usisikilize stories zao kuwa ulivyo halafu unda mbinu zako za hivyo hivyo ulivyo utawanasa wengi tuu, hata hawaeleweki hawa..... we kuwa kama mshambuliaji, utampiga chenga beki kadri anavyokuja.....

Hii ni ngumu sana kutoboa!!! Unless amalizane na hao hao wa church
 
Mimi nikiwa na binti yangu huwezi niletea mpuuzi kama huyo kuwa mkwe.

Watu wenye aina hizo za tabia malizaneni wenyewe huko huko mnakotinduana ila kwangu hawezi leta.

Uku ndo wanapoanzia watoto jamaa akija kwako anakuwa smart “ izo ni issues zao wa2 ...... na hawa jamaa usiombe wamteke binti yako mkuu ni kizaa zaa kumnasua hapo
 
Uku ndo wanapoanzia watoto jamaa alija kwako anakuwa smart “ izo ni issues zao wa2 ...... na hawa jamaa usiombe wamteke binti yako mkuu ni kizaa zaa kumnasua hapo
Nitawatimua mapema kwa sababu pia nitamueleza binti kabisa kwamba sitaki watu sampuli fulani ila ukiona wanakufaa kwangu usikanyage.
 
Hao ni sehemu ya wadada sio wote, tumegawayika katika makundi makundi ndio mana wanasema kila mtu na mtuwe..
Mwanaume anaevaa hereni ptuuu!!!! wanaume kama akina Brown sijui watu wanawapendea nini wakaka wa Tabata

Daslamu apo ni hatari!!
 
Wanawake Wanapenda NGONO .

NGONO ni Dhambi.

BAD BOYS WENGI, NI WATU WA DHAMBI .


Ivo wanawake wako na Bad Boy sababu Bad boy anawafanya wajihisi wote ni washirika wa 'Dhambi' na hamna kitu kibaya.


Ukijua akili ya Mwanamke inavyotenda kazi, Hautakaa kumshangaa Bwana X.


Kama wee ni Bad Boy, umenielewa !!.

Wewe hupendi ngono mkuu?
 
Kinacho wa drive hao pisi crazy ni “The Art of not giving a fucq” dem anaweza kuwa pisi af muhuni akamuona kibungo tu wala hampapatikii...Hapa mademu huchanganyikiwa mno!

Most Alphas huwa wana gain respect zaidi na hula pisi kali zaidi regardless ya uhuni walioko nao sababu they don’t fucq with bitches feelings esp. attention seeking bullcrap. Bad boys wana attract madem wazuri sababu pretty girls love real Gs. Wanaume ambao hawaoni noma ku express their minds ata dkk 1. dry dock yani no vaseline ka hivi... “Ka vipi sogea Ngwea nkutoe nyege hizo dzain ziko shazi”😆

Kuna huu ugonjwa ambao nice guys wengi wanao yani,,,”Bitch dependency syndrome” hii ni ile hali ya kutaka ku respond in each & every feeling ya demu. Kujifanya ku care kwa wingi na kutaka kuonesha that you are very important to her, giving too much of yourself just to satisfy her feelings matokeo yake unakuwa so fragile! You loose yourself in the process and end up being dumped.
A Pimp Named Slickback 😂😂😂
 
Nitawatimua mapema kwa sababu pia nitamueleza binti kabisa kwamba sitaki watu sampuli fulani ila ukiona wanakufaa kwangu usikanyage.

Utakuwa humtendei haki binti mkuu!! muache akija om wafate utaratibu wa mahari then ndoa hayo mengine ni yao ila sio avae hereni na marasta hii me mwenyewe nakukimbiza
 
Kiukweli ni kama vile wanaume mnapenda mdada ajiachie on bed yaani awe muhuni asiwe na aibu, ndiyo na sisi tunapenda babe asiwe mlokole sana ustaarabu mwingi, hadi tendo la ndoa style zingine kama popo kanyea mbingu aone dhambi aargh tunahitaji rough games, hujakaa sawa jikoni imoo, hujakaa sawa babe kagusa titi kidogo unanuna kidogo ila unaenjoy hujakaa sawa unapita sebuleni mara kakupiga kikofi cha tako😂 yaani muhuni huni hivi hana aibu, yaani Unakua unamfikiria yeye tu na huo ukorofi wake.

Siyo babe kapoaa kama kakimbia upadre bana. Ustaarabu mwingi hata kwenye visivohitaji ustaarabu mbususu na mishedede haihitaji ustaarabu, peleka moto heavy hadi mkitoka hapo mnahisi harufu ya mishikaki kumbe ni viungo vyenu vya siri vilikua kazini🏃‍♀️

Note: uhuni hadi wa mavazi na hereni kwa mkaka hapana, awe bad boy on bed tu.
Pumbavu sana😂😂😂😂😂😂
 
A Pimp Named Slickback 😂😂😂
Hahahahahah

Pimp: "Uh, Mr. Dubuois my name is A Pimp Named Slickback and this, sir, is an intervention."

Tom: "An intervention?"

Pimp: "Your friends have reason to believe that you are suffering from Chronic Bitch Dependency, Mr. Dubuois. May I call you Tom?"

Tom: "Is this some kind of joke?"

Pimp: "Tom... Bitch Dependency is no laughing matter. Addiction to a bitch can fuc with your friends, your health, and scary enough, even your money. It's a disease, Tom."

😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hili ndio tatizo la nice guys!
 
Hahahahahah

Pimp: "Uh, Mr. Dubuois my name is A Pimp Named Slickback and this, sir, is an intervention."

Tom: "An intervention?"

Pimp: "Your friends have reason to believe that you are suffering from Chronic Bitch Dependency, Mr. Dubuois. May I call you Tom?"

Tom: "Is this some kind of joke?"

Pimp: "Tom... Bitch Dependency is no laughing matter. Addiction to a bitch can fuc with your friends, your health, and scary enough, even your money. It's a disease, Tom."

😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hili ndio tatizo la nice guys!
Hahaha asee A Pimp Named Slickback ni kweru dingilai.
 
Back
Top Bottom