Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
Kwi kwi kwi...je cha...Wivu huo....muone sura utafikiri Jecha.
Kwa sura hii ningekurudishia nisingekuacha.Wivu huo....muone sura utafikiri Jecha.
jamaa hana kazi.hana hela..akimuona diamond anakula bata ulaya anachanganyikiwa kabisaBraza ile ishu yako ya kumrudisha mkeo na mtoto kijijini kwa sababu hauna kazi imefikia wapi ??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wivu huo....muone sura utafikiri Jecha.
Mwacheni shemeji yangu anachanua na kunyauka mwenyewe...Huu sio utamaduni wetu.
Mpaka baba mtu kaamua kuwapeleka angalau Ibiza wakapate hata kapiza. Diamond hivyo sio tulivyokulea. umependa boga, penda na maua yake. Ungekuwa wewe ndo mmoja kati ya wale watoto ungejiskiaje kuona mama amekuwa manipulated kuandamana batani na kubeba katoto kamoja tu ka nje?
Mama mtu nae haulizi wajukuu wako wapi, wanaendeleje, anafakamia Wine tu. Aaah kweli Tandale to Sweden, hii route imeniacha hoi.
Naona JF nzima ni team goldjojoe, wanaosepa ni team gold, mada imewagusa
Bado hujaijua damu wewe.hilo ni fundishoooo kwa wa baba jina, hongera mondi Hapo hata haupati laana yoyote. Mungu yu nawe
Wacha huyo dingi ashike adabu yake, aisome namba. anavuna alichopandaeti mwana imeakaaje hapa unaenda kula bata za mamilioni kwa obama wakati huku nyuma umemuacha mshua anapiga miayo ya njaa?