Kwanini waende Sweden kula Pasaka na kuacha watoto 3?

Kwanini waende Sweden kula Pasaka na kuacha watoto 3?

Wivu huo....muone sura utafikiri Jecha.
Kwa sura hii ningekurudishia nisingekuacha.
upload_2016-3-26_9-8-17.jpeg
 
Na wewe naye, ni kama unataka baba yao hasipewe muda wa kula bata na watoto wake... Muache tu D na mkewe na maisha yao.
 
Huu sio utamaduni wetu.

Mpaka baba mtu kaamua kuwapeleka angalau Ibiza wakapate hata kapiza. Diamond hivyo sio tulivyokulea. umependa boga, penda na maua yake. Ungekuwa wewe ndo mmoja kati ya wale watoto ungejiskiaje kuona mama amekuwa manipulated kuandamana batani na kubeba katoto kamoja tu ka nje?

Mama mtu nae haulizi wajukuu wako wapi, wanaendeleje, anafakamia Wine tu. Aaah kweli Tandale to Sweden, hii route imeniacha hoi.
Mwacheni shemeji yangu anachanua na kunyauka mwenyewe...
 

Attachments

  • 1459023968793.jpg
    1459023968793.jpg
    35.6 KB · Views: 35
Mama ndio ndugu yangu...na domo akikumbuka alivyohustle na maza ake kwenye umamantilie dingi kaingia mitini afu saa hivi good time imekuja ndo anajifanya anataka kushow love..domo mpe makavu utatubu baadae na utasamehewa tu na Mungu mwenye hukumu ya haki.

Mom alionyesha unconditional love..its your time to show unconditional love...and whenever she smile that's blesssing.

Respect mama.
 
Umtie mtoto wa watu mimba, anakuja kukuambia Juma nina mimba yako! wewe unamjibu ati nini? sikiliza we malaya potea hapa nisikuone la sivyo! nitakuua.

Mtoto wa watu anaondoka huku mchozi yanamdondoka anahangaika mwenyewe anazaa na kukalea katoto mpka kanakua. hata buku la matumizi hutoi, na mtoto unamkataa kuwa si wako.

Sasa mama anamehangaika nae amekua na mambo yake yamekuwa super ndo unaleta pua yako *****.... km ndo mimi nakuua tena kwa kukunyonga hadharani
 
Back
Top Bottom