kabwigwa
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 933
- 1,540
Wakuu wiki uliyipita kulikua na purukushani Tandika kuhusu leseni nilishangaa sana kuna maduka zaidi ya 200.Kifupi inatia aibu sana kuona uzembe kama huu huku wafanyakazi ndo wakikamuliwa kodi kubwa.
Roughly mfanyabiashara wa Tandika kwa mwez anaingiza si chin ya 1;000,000.Leseni wanayotakiwa kukata ni tsh 150,000 tu.TRA kuwen makin yawezena zjpo sehem nyingi tu hapa Dsm ambazo wafanyabiashara hawana leseni.