BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Nipo napitia pitia vitabu vya biashara naona kama wafanya biashara wa Kariakoo wako against na sheria za Biashara hii ni maajabu kidogo.
Kwa sababu kikawaida kama kodi iko juu anaye takiwa kulia ni mnunuaji wa mwisho yeye ndie anapaswa kulia na hata kuingia Barabarani. Sasa hii ya Kariakoo ni kama wana goma kwa niaba ya mtumiaji wa mwisho.
Ukitoa dai la kusumbuliwa na Wamaching madai mengine hayana mantiki ni full sanaa tupu kama kodi ni kubwa pandisha bei ya products zako, sasa ni kama wanaonea huruma wateja wao.
Anaye beba mzigo wa kodi Mara zote ni mtumiaji wa mwisho sasa Bongo labda ni tofauti kidogo kwamba mzigo wa kodi unabebwa na muuzaji badala ya mnunuaji.