youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,811
- 3,888
Jibu ni Moja tu! wamesajili majina ya biashara zao
Ndio, kuna ulazima mkubwa wa kusajili jina la biashara na faida zake ni nyingi kuliko watu wanavyofikiria.
How👇👇
Utakuwa na nguvu ya kisheria kumzuia kama tu umejisajili.
5. Kusajili jina inakuonesha umejiandaa kwa Ukuaji wa Biashara yako Ukiwa umesajili jina, unajiandaa kuikuza biashara yako kitaalamu, baadae inaweza kuwa kampuni kubwa.
Kwa kifupi:
👉 Kama unataka kuchukuliwa serious
👉 Kama unataka kulinda jina lako
👉 Kama unataka kukua bila matatizo
Sajili jina la biashara yako mapema! 🚀
Unahitaji kusajili jina la biashara yako lakini hujui pa kuanzia? Usihangaike! 📲
Nitakusaidia hatua kwa hatua hadi jina lako lisajiliwe rasmi na upate cheti chako.
👉 Bonyeza hapa kuja WhatsApp: wa.me/+255693880325
Au nitumie meseji "Nataka kusajili jina la biashara" nitakusaidia haraka sana! 🚀
Ndio, kuna ulazima mkubwa wa kusajili jina la biashara na faida zake ni nyingi kuliko watu wanavyofikiria.
How👇👇
- Kusajili jina unapata uhalali wa Kisheria. Unaposajili jina lako kupitia BRELA, Biashara yako inatambua rasmi. Inakulinda kisheria na unapata umiliki wa kutumia jina hilo kibiashara.
- Unaaminika kwa Wateja. Wateja wanaamini zaidi biashara iliyosajiliwa kuliko mtu tu wa mitandaoni. Unapokuwa na jina lililosajiliwa, inaonyesha wewe upo serious, sio kama mawinga.
- Unaweza kufungua akaunti ya benki kwa jina la biashara.
- Unaweza kupata mikopo ya biashara.
- Unaweza kupata tenda au kazi kubwa kutoka serikalini au makampuni binafsi.
- Unaweza kutumia hilo jina kwenye mikutano, meeting, sponsoring na kulitanganza sehemu yoyote.