Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Mi mwenyewe taasisi niliyokuwa nafanya kazi(Private) tulikuwa tunaingia saa tatu asubuhi then kutoka saa kumi na moja jioni, Saa saba mpaka saa nane ni muda wa chakula cha mchana, Kama uko field utakula muda wowote unaotaka na Jumamosi na Jumapili ni off unless kuwe na emergency napo unakuwa paid as overtime