Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Serikali imetoa mwongozo soma public service standing orders ila haikuzuii kuongeza masaa ya kazi,hyo inaitwa extra time japo sehmu zingine wanalipwa kwa extra time nadhan kulingana na shughul iliyopohuku kwetu mamlakan tunatoka saa 11 mkuu..hiyo saa 9 labda ni ya walimu na huko halmashauri.
Nafikiri yuko sahihi, hivi kuna kazi inafanyika kweli? Unafuatilia jambo miezi, mhusika kasafiri, kafiwa, anaumwa, mkutanoni sijui wapi, ili mradi ni biashara ya nenda rudi kesho, wiki ijayo, mwezi ujao.Kuna makosa hapo, sio saa 8 kwa wiki bali n saa 8 kwa siku.
Ww kukosa huduma hat kama wahusika wapo hy haiwahusu, cha msingi kwao ni kusign kuingia na kutokaNafikiri yuko sahihi, hivi kuna kazi inafanyika kweli? Unafuatilia jambo miezi, mhusika kasafiri, kafiwa, anaumwa, mkutanoni sijui wapi, ili mradi ni biashara ya nenda rudi kesho, wiki ijayo, mwezi ujao.
Hatuna sababu ya kufanya shift sababu mchana tu tumeshindwa kuwa productive kwa resources zilizopo.Ili ufanisi ufanyike inabidi tu utilize Time effective na kuemploy Technology na skilled LabourMe nashauri Tanzania taasisi nyingi zianze kuingia kwa shift, itasaidia kuongeza uzalishaji na nafasi za ajira.
Hpana mkuu no overtime labda kama utaendelea kuanzia iyo sa kumi na moja kwenda mbele hapo lazima utapata OTHao wanalipwa overtime?
Hawajui kama kuna sabato au j2Kwa kampuni za wachina muda wa kuingia unajulikana ila muda wa kutoka ndio majaaliwa
Hawana diniHawajui kama kuna sabato au j2