johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kiukweli ukipita humu mitandaoni utaona namna wafuasi wa CHADEMA walivyoumia kwa sababu tu ACT-Wazalendo wamejiunga na SUK huko Zanzibar.
Binafsi najiuliza kwanini waumie wafuasi wa CHADEMA badala ya wale wa CUF ambao ndio wameizaa ACT-Wazalendo ya Zanzibar?
Mbona CHADEMA imeteua Wabunge wa Viti Maalum lakini ACT-Wazalendo hawajalalamika?
Maendeleo hayana vyama.
cc: Mmawia, Erythrocyte na Salary Slip