Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wote ni walewale ndiyo maana CHADEMA wamesandaAkina Halima Mdee ndio wameunga mkono juhudi za CCM lakini ACT wazalendo wamejiunga SUK!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote ni walewale ndiyo maana CHADEMA wamesandaAkina Halima Mdee ndio wameunga mkono juhudi za CCM lakini ACT wazalendo wamejiunga SUK!
sidhani kama wananchi wanaweza kuamua kula "Mavi", ni mtu mmoja/wawili/watatu wameamua kula "Mavi"Wananchi wameamua ACT wazalendo wajiunge SUK!
Swali konkiii. Hawezi kukujibu kwa vile hata yeye hajui sababu ya furaha yakeKwanini CCM mmefurahi ACT kujiunga na CCM?
Kwahiyo nyie mliowapeleka akina Halima James Mdee bungeni mnakula mavi?sidhani kama wananchi wanaweza kuamua kula "Mavi", ni mtu mmoja/wawili/watatu wameamua kula "Mavi"
CCM imejaa watu wa hovyo sanaSwali konkiii. Hawezi kukujibu kwa vile hata yeye hajui sababu ya furaha yake
Pamoja na wwKwahiyo nyie mliowapeleka akina Halima James Mdee bungeni mnakula mavi?
CCM hawajafurahia kwa sababu Zanzibar ilikuwa ya chama kimoja!Swali konkiii. Hawezi kukujibu kwa vile hata yeye hajui sababu ya furaha yake
Mimi binafsi kinachonishangaza zaidi ni kwa nini CCM wamelifurahia hilo hali ya kuwa walikua wanatuimbia majukwaani kuwa upinzani unachelewesha maendeleoKiukweli ukipita humu mitandaoni utaona namna wafuasi wa CHADEMA walivyoumia kwa sababu tu ACT wazalendo wamejiunga na SUK huko Zanzibar.
Binafsi najiuliza kwanini waumie wafuasi wa CHADEMA badala ya wale wa CUF ambao ndio wameizaa ACT wazalendo ya Zanzibar?
Mbona CHADEMA imeteua wabunge wa viti maalumu lakini ACT wazalendo hawajalalamika?
Maendeleo hayana vyama.
cc: Mmawia, Erythrocyte na Salary Slip
CCM ndio walionuna ACT kujiunga GNUKwanini CCM mmefurahi ACT kujiunga na CCM?
Nimekuelewa bwashee, Chadema wanamnunia Halima Mdee huku ruzuku wanaitaka!CCM ndio walionuna ACT kujiunga GNU
Lengo lao ilikuwa kufuta katiba ya umoja wa kitaifa, au wakipandishe chama cha CUF badala yetu.
Tungeli susa wangalimuweka Hamad Rashid wa ADC au Mussa Haji wa CUF.
Si busara kupoteza nafasi ya kujiongeza kisiasa, Huenda kuwemokwetu kukatupa nafasi pana ya kusonga mbele badala ya kuwa tulishalambishwa mchanga na CCM kwa dhuluma.
Si akili kubaki kulalama tuu ''you have to do something which is in your disposal''
Njaa tupu inawasumbuaCCM ndio walionuna ACT kujiunga GNU
Lengo lao ilikuwa kufuta katiba ya umoja wa kitaifa, au wakipandishe chama cha CUF badala yetu.
Tungeli susa wangalimuweka Hamad Rashid wa ADC au Mussa Haji wa CUF.
Si busara kupoteza nafasi ya kujiongeza kisiasa, Huenda kuwemokwetu kukatupa nafasi pana ya kusonga mbele badala ya kuwa tulishalambishwa mchanga na CCM kwa dhuluma.
Si akili kubaki kulalama tuu ''you have to do something which is in your disposal''
Haahaa wale ni wasaliti, maalim seif kaungana na watesi wake kula Bata kule zanzibar huku wapemba wakiuguza majeraha ya vipigo....Akina Halima Mdee ndio wameunga mkono juhudi za CCM lakini ACT wazalendo wamejiunga SUK!
Demokrasia ina gharama zake!Haahaa wale ni wasaliti, maalim seif kaungana na watesi wake kula Bata kule zanzibar huku wapemba wakiuguza majeraha ya vipigo....
Mbowe atapewa ubunge wa viti maalumu akaungane na akina Halima Mdee!Siasa ni taaluma ambayo inafikirisha sana, na hii ni kwakua inafanya yale yasiyo wezekana kwa akili ya kawaida huwa yana wezekana kisiasa.
Wakati nikiwa kijana mdogo nilipata bahati ya kusiliza hekima za mwanasiasa mkongwe Marehemu Peter Kisumo ikizungumzia suala la la Serikali ya Tanganyika wakati wa msimu wa agenda ya G55 alivyokuwa ukiendelea Bungini.
Alisema na namnukuu " katika siasa hakuna majadiliano au agenda yeyote ikawa ya kudumu, na lazima tukubali mtii uliyo nyooka msituni ndio hukatwa kwanza, na wanao isimamia hii ajenda ndio watakao potea kwanza kisiasa au watamezwa na mfumo mpana wa siasa" ,
Haikupita muda Mzee Sitta,Njelu Kasaka na wengi katika kundi lao, wakapata Uwaziri na Ukuu wa Mikoa, na Mzee Maleccela akapoteza kazi ya Uwaziri Mkuu.
Sasa katika siasa ya vyama vingi tulio nayo leo Maalim Seif mambo safi kamezwa na mfumo, yawezekana Mbowe akapata ama akainuliwa kisiasa ama kupotezwa kisiasa.
Yetu macho tusubiri, miazi mitatu ijayo kuna mengi yatatokea ambayo kila litakalo tokea hatuto amini.