johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chadema wanajiona kama wao ni big brother wa vyama vya upinzani, kwa hiyo walidhani wanaweza kuiambia ACT nini cha kufanya. Act wameamua kufanya mambo kivyao, ndo maana misukule ya kamanda msaliti/mtundulisu inaona wivu.Wengi walitegemea kwamba Maalim Seif angeishi kwa kutegemea akili ya Lisu. Lkn kwa bahati nzur mamb yamekuwa tofauti Maalim kakataa kushikiwa akili na mchumia tumbo Lisu ndomaana nyumbu wa Lisu wamechukia
Una mtindio wa ubongo.Au kwa sababu Chadema imekufa,Act inachipua!
Hao ACT walikuwa wanabembeleza uongozi Chadema uwasamehe Covid-19 ili wajifiche kwenye hicho kichaka kwa maamuzi yao ya jana, siasa za kuvizia; sasa yale maamuzi magumu ya Chadema yamewafanya wajilipue, vyama laini vinatakiwa kufa kibaki kimoja chenye nguvu Tanzania.Wengi walitegemea kwamba Maalim Seif angeishi kwa kutegemea akili ya Lisu. Lkn kwa bahati nzuri mambo yamekuwa tofauti Maalim kakataa kushikiwa akili na mchumia tumbo Lissu ndomaana nyumbu wa Lisu wamechukia
Usiku wa manane ndio nini bwashee?Wewe ndiye unaumia,ndiyo maana hulali umeamua kuleta post usiku wa manane.
Wananchi wameamua ACT wazalendo wajiunge SUK!Katika medani za upinzani tanzania, ACT wamejitanabaisha kama washirika wazuri wa mabadiliko kupitia siasa za upinzani. Inapotokea wakakengeuka, wakafanya usaliti, mwenye akili atahoji na siyo kuumia kama unavyodhani
Point tupuCHADEMA inaenda kuongeza wanachama Zanzibar kama itaendelea kuwa na msimamo huu wakuyosjobokea vinafasi haramu vya CCM watu wengi wataamini CDM kuliko ACT, asaiv act wamejitoa kwenye reli hawana tofauti na TLP au CUF.
Akina Halima Mdee ndio wameunga mkono juhudi za CCM lakini ACT wazalendo wamejiunga SUK!Kwanini CCM mmefurahi ACT kujiunga na CCM?