Kwanini wafuasi wa CHADEMA wanaumia na uamuzi wa ACT-Wazalendo kujiunga na SUK Zanzibar?

Sasa wewe una akili kweli?
 
Chadema wanajiona kama wao ni big brother wa vyama vya upinzani, kwa hiyo walidhani wanaweza kuiambia ACT nini cha kufanya. Act wameamua kufanya mambo kivyao, ndo maana misukule ya kamanda msaliti/mtundulisu inaona wivu.
Wale watu mliwaua Zenji wanafufuka kutokana na haya makubaliano!?
 
Bongo hakuna upinzani wa kweli maana mashabiki ndo wanaumia ila wachezaji wapiga dili tu
 
Chadema hii ambayo Lisu alikuwa anamuomba raisi Magufuli maridhiano au unazungumzia ile ya kipindi kile cha dr Slaa?
 
Na kwanini wewe MATAGA mzoefu leo uwe msemaji wa ACT-Wazalendo?
 

Utakuwa na makengeza bwashee. Uliyaona haya?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…