Familia zisizojiweza na kuweza kujitunza wenyewe, nao unawaongeleaje?Inatambulika watoto wapo chini ya uangalizi wa wazazi wao lakini wafungwa ni wajibu wa moja kwa moja wa serikali.
Tuzae watoto ambao tunaweza kumudu kuwalea vile vile tuwaandalie mazingira mazuri ikitokea hatupo duniani
Watoto wa mitaani sio wafungwaKwanini Wafungwa Wanapewa Chakula, Maji na Malazi, lakini Watoto wa Mtaani, ombaomba, na wenye Ulemavu mabarabarani, hawawezi kufanyiwa utaratibu wa kuwahudumia kama wanavyohidumiwa Wafungwa.
Na wakajiajiri katika miradi kama ilivyo kwa wafungwa ambayo itawasaidia kujipatia pesa na mahitajinyao kwa Uhuru?
Kabla ya kuanzisha familia unatakiwa kujifanyia assessment kuona kama unaweza kuitunza iyo familia yako. Hauwezi kuanzisha familia halafu jukumu la kuitunza uiachie serikali.Familia zisizojiweza na kuweza kujitunza wenyewe, nao unawaongeleaje?
Hapo ni kama kusema Kabla hawajafungwa hawakutakiwa Kufanya makosa.. .. Hizo familia ndo ishatokea so tunawasaidiaje?Kabla ya kuanzisha familia unatakiwa kujifanyia assessment kuona kama unaweza kuitunza iyo familia yako. Hauwezi kuanzisha familia halafu jukumu la kuitunza uiachie serikali.
Ukiamua kusaidia iwe hiyali sio shurti.Hapo ni kama kusema Kabla hawajafungwa hawakutakiwa Kufanya makosa.. .. Hizo familia ndo ishatokea so tunawasaidiaje?
Sababu ni ccm ni ma💩💩💩Kwanini Wafungwa Wanapewa Chakula, Maji na Malazi, lakini Watoto wa Mtaani, ombaomba, na wenye Ulemavu mabarabarani, hawawezi kufanyiwa utaratibu wa kuwahudumia kama wanavyohidumiwa Wafungwa.
Na wakajiajiri katika miradi kama ilivyo kwa wafungwa ambayo itawasaidia kujipatia pesa na mahitajinyao kwa Uhuru?
SahihiInatambulika watoto wapo chini ya uangalizi wa wazazi wao lakini wafungwa ni wajibu wa moja kwa moja wa serikali.
Tuzae watoto ambao tunaweza kumudu kuwalea vile vile tuwaandalie mazingira mazuri ikitokea hatupo duniani