Kwanini Wafungwa Wanapewa Huduma Muhimu lakini Watoto wa Mtaani hawapewi

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
Kwanini Wafungwa Wanapewa Chakula, Maji na Malazi, lakini Watoto wa Mtaani, ombaomba, na wenye Ulemavu mabarabarani, hawawezi kufanyiwa utaratibu wa kuwahudumia kama wanavyohidumiwa Wafungwa.

Na wakajiajiri katika miradi kama ilivyo kwa wafungwa ambayo itawasaidia kujipatia pesa na mahitajinyao kwa Uhuru?
 
Inatambulika watoto wapo chini ya uangalizi wa wazazi wao lakini wafungwa ni wajibu wa moja kwa moja wa serikali.

Tuzae watoto ambao tunaweza kumudu kuwalea vile vile tuwaandalie mazingira mazuri ikitokea hatupo duniani
 
Familia zisizojiweza na kuweza kujitunza wenyewe, nao unawaongeleaje?
 
Watoto wa mitaani sio wafungwa
 
Familia zisizojiweza na kuweza kujitunza wenyewe, nao unawaongeleaje?
Kabla ya kuanzisha familia unatakiwa kujifanyia assessment kuona kama unaweza kuitunza iyo familia yako. Hauwezi kuanzisha familia halafu jukumu la kuitunza uiachie serikali.
 
Hapo ni kama kusema Kabla hawajafungwa hawakutakiwa Kufanya makosa.. .. Hizo familia ndo ishatokea so tunawasaidiaje?
 
Kwanini Wafungwa Wanapewa Chakula, Maji na Malazi, lakini Watoto wa Mtaani, ombaomba, na wenye Ulemavu mabarabarani, hawawezi kufanyiwa utaratibu wa kuwahudumia kama wanavyohidumiwa Wafungwa.

Na wakajiajiri katika miradi kama ilivyo kwa wafungwa ambayo itawasaidia kujipatia pesa na mahitajinyao kwa Uhuru?
Sababu ni ccm ni ma💩💩💩
 
Inatambulika watoto wapo chini ya uangalizi wa wazazi wao lakini wafungwa ni wajibu wa moja kwa moja wa serikali.

Tuzae watoto ambao tunaweza kumudu kuwalea vile vile tuwaandalie mazingira mazuri ikitokea hatupo duniani
Sahihi
 
Back
Top Bottom