Kwanini wagombea wa CCM hulindwa na Usalama wa taifa wakati wa kampeni

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
Wagombea wa CCM wa nafasi ya urais huwa wanalindwa na Usalama wa taifa.Nazungumzia mgombea mpya sio yule ambaye tayari ni raisi anaegombea kwa awamu ya pili.Mfano jiwe kwenye kampeni 2015 alikuwa tayari ana kampani ya Usalama wa taifa.Je CCM huwa wanajua kwamba Mgombea wao ni lazima atashinda na kuwa Rais.
20200911_144105.jpg
 
Hao wanakuwa wameshapitishwa kuwa marais tayari hapo wanakamilisha ratiba tu
 
Wagombea wa CCM wa nafasi ya urais huwa wanalindwa na Usalama wa taifa.Nazungumzia mgombea mpya sio yule ambaye tayari ni raisi anaegombea kwa awamu ya pili.Mfano jiwe kwenye kampeni 2015 alikuwa tayari ana kampani ya Usalama wa taifa.Je CCM huwa wanajua kwamba Mgombea wao ni lazima atashinda na kuwa Rais.
View attachment 1566374
Mgombea yoyote na mgombea mwenza wake (wa chama chochote) analindwa na usalama wa taifa pamoja na polisi kipindi chote cha kampeni mpk Rais atakapotangazwa. Hiyo ni kulinda taswira ya usalama wa Taifa. Kumbuka kama mgombea au mgombea mwenza akifariki dunia uchaguzi unaahirishwa. Hivyo lazima walindwe kuliko kuachwa tu wakadhuriwa mitaani. Gharama ya kusogeza mbele uchaguzi ni ghali mara milioni moja ya gharama za kuwalinda

Ukiwa mkubwa kifikra utaelewa ili
 
Sio ccm tu,NEC ikishapitisha jina lako unalindwa na hao jamaa hata hashim rungwe na lissu wanalindwa na hao jamaa,
Mwambie aelewe hilo.
Usimuone mzee wa Ubeche kwa kuku na tunda moja ukadhani hana ulinzi wa serkali upo.

Ndio maana anatangaza ubwabwa bila hofu
 
Wagombea wa CCM wa nafasi ya urais huwa wanalindwa na Usalama wa taifa.Nazungumzia mgombea mpya sio yule ambaye tayari ni raisi anaegombea kwa awamu ya pili.Mfano jiwe kwenye kampeni 2015 alikuwa tayari ana kampani ya Usalama wa taifa.Je CCM huwa wanajua kwamba Mgombea wao ni lazima atashinda na kuwa Rais.
View attachment 1566374

Mwisho ni 28/10/2020.
 
unawezakuta ndugu yetu mwanasheria nguli kakataa,maana kwa vihoja huyo bro sio poa.
 
Tena mbaya zaidi wanavishwa hadi sare za CCM wakati katiba inawataka kutofungamana na upande wowote kiitikadi! Tumefika kubaya sana hata le ikatokea Mbowe au Lissu awatose CHADEMA ndipo utaona haohao wanaanza kumlinda! Sasa hivi ukizungumzia kutishia anguko la CCM unakuwa ni kama umezungumzia kutishia usalama wa taifa hili kwakweli halipo sawa!
 
Wagombea wa CCM wa nafasi ya urais huwa wanalindwa na Usalama wa taifa.Nazungumzia mgombea mpya sio yule ambaye tayari ni raisi anaegombea kwa awamu ya pili.Mfano jiwe kwenye kampeni 2015 alikuwa tayari ana kampani ya Usalama wa taifa.Je CCM huwa wanajua kwamba Mgombea wao ni lazima atashinda na kuwa Rais.
View attachment 1566374
Unateseka?? usitufokee.
 
Mgombea yoyote na mgombea mwenza wake (wa chama chochote) analindwa na usalama wa taifa pamoja na polisi kipindi chote cha kampeni mpk Rais atakapotangazwa. Hiyo ni kulinda taswira ya usalama wa Taifa. Kumbuka kama mgombea au mgombea mwenza akifariki dunia uchaguzi unaahirishwa. Hivyo lazima walindwe kuliko kuachwa tu wakadhuriwa mitaani. Gharama ya kusogeza mbele uchaguzi ni ghali mara milioni moja ya gharama za kuwalinda

Ukiwa mkubwa kifikra utaelewa ili

Hata yule bodyguard wa Lissu nae usalama wa taifa?
 
Back
Top Bottom