Kwanini wagombea wa CCM hulindwa na Usalama wa taifa wakati wa kampeni

Kwanini wagombea wa CCM hulindwa na Usalama wa taifa wakati wa kampeni

Mgombea yoyote na mgombea mwenza wake (wa chama chochote) analindwa na usalama wa taifa pamoja na polisi kipindi chote cha kampeni mpk Rais atakapotangazwa. Hiyo ni kulinda taswira ya usalama wa Taifa. Kumbuka kama mgombea au mgombea mwenza akifariki dunia uchaguzi unaahirishwa. Hivyo lazima walindwe kuliko kuachwa tu wakadhuriwa mitaani. Gharama ya kusogeza mbele uchaguzi ni ghali mara milioni moja ya gharama za kuwalinda

Ukiwa mkubwa kifikra utaelewa ili
Umenena vyema funzadume
 
Back
Top Bottom