EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Ndio wamejazana humoLabda UVCCM ndo Usalama wa Taifa wenyewe[emoji4]
Hatari sanaNdio wamejazana humo
Ndo wanavaa na sare za chama pia???Sio ccm tu,NEC ikishapitisha jina lako unalindwa na hao jamaa hata hashim rungwe na lissu wanalindwa na hao jamaa,
Hizo ni mbinu za kiulinziNdo wanavaa na sare za chama pia???
HahahahaaaHizo ni mbinu za kiulinzi
Mgombea yoyote na mgombea mwenza wake (wa chama chochote) analindwa na usalama wa taifa pamoja na polisi kipindi chote cha kampeni mpk Rais atakapotangazwa. Hiyo ni kulinda taswira ya usalama wa Taifa. Kumbuka kama mgombea au mgombea mwenza akifariki dunia uchaguzi unaahirishwa. Hivyo lazima walindwe kuliko kuachwa tu wakadhuriwa mitaani. Gharama ya kusogeza mbele uchaguzi ni ghali mara milioni moja ya gharama za kuwalindaWagombea wa CCM wa nafasi ya urais huwa wanalindwa na Usalama wa taifa.Nazungumzia mgombea mpya sio yule ambaye tayari ni raisi anaegombea kwa awamu ya pili.Mfano jiwe kwenye kampeni 2015 alikuwa tayari ana kampani ya Usalama wa taifa.Je CCM huwa wanajua kwamba Mgombea wao ni lazima atashinda na kuwa Rais.
View attachment 1566374
Mwambie aelewe hilo.Sio ccm tu,NEC ikishapitisha jina lako unalindwa na hao jamaa hata hashim rungwe na lissu wanalindwa na hao jamaa,
Ya kweli hayo mkuuSio ccm tu,NEC ikishapitisha jina lako unalindwa na hao jamaa hata hashim rungwe na lissu wanalindwa na hao jamaa,
Wagombea wa CCM wa nafasi ya urais huwa wanalindwa na Usalama wa taifa.Nazungumzia mgombea mpya sio yule ambaye tayari ni raisi anaegombea kwa awamu ya pili.Mfano jiwe kwenye kampeni 2015 alikuwa tayari ana kampani ya Usalama wa taifa.Je CCM huwa wanajua kwamba Mgombea wao ni lazima atashinda na kuwa Rais.
View attachment 1566374
👆Ukiwa mkubwa kifikra utaelewa ili
Nafuta kauli tena kwa unyenyekevu👆
Umefafanua vema lakini nina neno nawe,tengua hiyo kauli ebo!
Unateseka?? usitufokee.Wagombea wa CCM wa nafasi ya urais huwa wanalindwa na Usalama wa taifa.Nazungumzia mgombea mpya sio yule ambaye tayari ni raisi anaegombea kwa awamu ya pili.Mfano jiwe kwenye kampeni 2015 alikuwa tayari ana kampani ya Usalama wa taifa.Je CCM huwa wanajua kwamba Mgombea wao ni lazima atashinda na kuwa Rais.
View attachment 1566374
unauliza jibu?Je CCM huwa wanajua kwamba Mgombea wao ni lazima atashinda na kuwa Rais.
Mgombea yoyote na mgombea mwenza wake (wa chama chochote) analindwa na usalama wa taifa pamoja na polisi kipindi chote cha kampeni mpk Rais atakapotangazwa. Hiyo ni kulinda taswira ya usalama wa Taifa. Kumbuka kama mgombea au mgombea mwenza akifariki dunia uchaguzi unaahirishwa. Hivyo lazima walindwe kuliko kuachwa tu wakadhuriwa mitaani. Gharama ya kusogeza mbele uchaguzi ni ghali mara milioni moja ya gharama za kuwalinda
Ukiwa mkubwa kifikra utaelewa ili