INTROVERT MAN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 993
- 1,343
Yaweza ikawa kweli kwani ikitokea akapata madhara lawama zitakuwa nyingi sana toka kwa raiaSio ccm tu,NEC ikishapitisha jina lako unalindwa na hao jamaa hata hashim rungwe na lissu wanalindwa na hao jamaa,
Huo ndio ukweli,Yaweza ikawa kweli kwani ikitokea akapata madhara lawama zitakuwa nyingi sana toka kwa raia
Sawa,ila mtu akivuta bange,akisikia mwingine anaongea huwa anajua anafokewaUnateseka?? usitufokee.
Hili ndilo jibu halisi.Sio ccm tu,NEC ikishapitisha jina lako unalindwa na hao jamaa hata hashim rungwe na lissu wanalindwa na hao jamaa,
Umenena vyema funzadumeMgombea yoyote na mgombea mwenza wake (wa chama chochote) analindwa na usalama wa taifa pamoja na polisi kipindi chote cha kampeni mpk Rais atakapotangazwa. Hiyo ni kulinda taswira ya usalama wa Taifa. Kumbuka kama mgombea au mgombea mwenza akifariki dunia uchaguzi unaahirishwa. Hivyo lazima walindwe kuliko kuachwa tu wakadhuriwa mitaani. Gharama ya kusogeza mbele uchaguzi ni ghali mara milioni moja ya gharama za kuwalinda
Ukiwa mkubwa kifikra utaelewa ili
IQ kubwaUmenena vyema funzadume