GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jun 12, 2024 #1 Nasubiria Majibu yenu ya upesi kwani kuna Mtu kaniibia Kuku wangu Bandani kule Kwangu Bagamoyo Mkoani Pwani.
Nasubiria Majibu yenu ya upesi kwani kuna Mtu kaniibia Kuku wangu Bandani kule Kwangu Bagamoyo Mkoani Pwani.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Jun 12, 2024 #2 kugongwa kwenye nyayo ,kubanwa kende ,shoti ya umeme nk(physical torture) Sio kazindogo, ukizingatia maaskari wamtaani kwao wanazengea pamoja
kugongwa kwenye nyayo ,kubanwa kende ,shoti ya umeme nk(physical torture) Sio kazindogo, ukizingatia maaskari wamtaani kwao wanazengea pamoja
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,760 Reaction score 20,837 Jun 12, 2024 #3 Kubanwa kende kwa kutumia pliers.
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,666 Reaction score 7,788 Jun 12, 2024 #4 Nilijuaga ni Sitakishari tu kumbe na obay!