Melelani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 542
- 536
Ulishaona tunafunga kamba watu kuwa lazima waamini.Kila kona ya hii dunia Dini ya kiislamu ni shida. Inapigwa vita na wazungu , wachina na wahindi na shida ni ile ile waislamu wanataka kulazimisha dini yao ifuatwe kwa nguvu kitu ambacho akikubaliki kwa dunia ya saiv ambayo dini ni hiyari ya mtu.