Kwanini Wahindu wanawachukia sana Waislam ambao ni ndugu zao na kuwapenda Wakristo na Wabudha?

Kila kona ya hii dunia Dini ya kiislamu ni shida. Inapigwa vita na wazungu , wachina na wahindi na shida ni ile ile waislamu wanataka kulazimisha dini yao ifuatwe kwa nguvu kitu ambacho akikubaliki kwa dunia ya saiv ambayo dini ni hiyari ya mtu.
Ulishaona tunafunga kamba watu kuwa lazima waamini.
 
Kuna kitu huwa nawashangaa sana Wakristo, wana chuki, kejeli na wabaguzi kabla hata ya kubaguliwa kisingizio ikiwa ni 'Waislam ni washenzi sana' ukiuliza ushenzi upi mliofanyiwa na Waislam watajibu kwa mifano ya makundi ya kigaidi!

Waislam wamekuwa wakifanyiwa unyama sehemu nyingi lakini hawa ndugu zetu wamekuwa wakifurahia sababu ya chuki zao dhidi yetu. Kinachotokea India, China, Myanmar, Israel n.k ni wazi kabisa Waislam ndio wenye kuonewa lakini watu bado wanawalaumu Waislam kisa kwamba wao ni washenzi kwahiyo ni sawa kufanyiwa hivi.

Jambo la ajabu zaidi kwa ndugu zetu Wakristo ni kwamba chuki yao haijaishia kwa Waislam tu bali kwa Waarabu wote. Leo hii Mkristo yuko radhi kufurahia mauaji ya Mkristo mwenzake kisa tu ni muarabu! Huu ujinga sijui utaisha lini.

Tuseme kweli Uislam ulienezwa kwa upanga lakini je leo hii ni wangapi wamebadili dini kwa kulazimishwa au kwa vita? Nadhani kinachowauma Wakristo ni jamii ya Kiislam kuamua kuishi kwa kufuata sheria zao hatakama hawatowalazimisha wenzao lakini bado watachukiwa!

Ukristo inaonekana ni dini ya amani sababu ndio watawala wa kidunia wanaamua watoe elimu ipi kwa wanadamu au wafiche nini, ama wabadilike vipi kulingana na dunia ya sasa. Lakini ukweli utabaki kuwa kweli ukristo umefanya mauaji mengi tu tangu zama hizo hadi sasa, vita za wao kwa wao (Roman na Protestant) na vita dhidi ya Wapagani na Waislam.

Hata leo hii tunashuhudia haya, USA akipiga nchi ya Kiislam itaonekana ni siasa lakini Pakistan akipiga nchi ya Kikristo itaonekana ni dini.
 
Kila kona ya hii dunia Dini ya kiislamu ni shida. Inapigwa vita na wazungu , wachina na wahindi na shida ni ile ile waislamu wanataka kulazimisha dini yao ifuatwe kwa nguvu kitu ambacho akikubaliki kwa dunia ya saiv ambayo dini ni hiyari ya mtu.
Mafundisho ya uislam yanakaza kumlazimisha mtu kuamini uislam
 
Mafundisho ya uislam yanakaza kumlazimisha mtu kuamini uislam
2:29
Piganeni na
1.wasio muamini Mwenyezi Mungu wala
2.Siku ya Mwisho, wala
3.hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala 4.hawashiki Dini ya Haki,
5.miongoni mwa walio pewa Kitabu,
5.mpaka watoe kodi kwa khiari yao,
6.hali wamet’ii.
 
Dah, kaka mkubwa jamaa ametumia maneno mazuri sana kukuelewesha lkn wapiiii, sjui umekusudia kutokuelewa au laa. Lkn ngoja nimsaidie labda kupitia mimi utaelewa vzr zaidi. Na nitakujibu kwa mifano.

UKikuta msikiti wanamsifia mtu kwa mambo flani anayoyafanya, yapime yale mambo kwa kipimo cha uislam (quran na hadith), kama yapo sawa yafate kama hayapo sawa achana nayo kwasbb uislam sio msikiti, wala sio watu, unless wafate Qur.an na hadith,

Ni sawa na mm leo nikuulize inamaana yale makanisa ambayo wanafungisha ndoa za jinsia moja unadhani wale sio wakristo safi kuliko wewe ??
Utanijibu vp?

Kaka kua muelewa basi.
 
Kwaio viongozi wa makanisa wanavyoozesha wa jinsia moja ndio picha husika ya hiyo dini ?
 
Waislamu wanakula miungu yao (ng’ombe)😂

Halafu hao Wakristo sio kama wanapendwa ni vile wako mbali na wahindu

Na walio karibu idadi yao ni ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…