Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Wema mpaka kwa whozu.
Sheikh alighafilika πππ
Kujifanya watu wako na huruma zaidi ya aliyetuumba π€Hizi dini ni comedy show, mambo ya kung'ang'azina kwenda peponi wakati kila mtu kaja duniani kivyake na ataondoka kivyake
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ni ajabu sana Aisee!Hizi dini ni comedy show, mambo ya kung'ang'azina kwenda peponi wakati kila mtu kaja duniani kivyake na ataondoka kivyake
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
ππ€£π€£Sheikh alighafilika πππ
Rose kubadili kutoka wap kwenda wapUislamu ni mkubwa kuliko mtu mmoja mmoja
Nani anamzungumzia Rose Mhando kubadili dini itakuja kuwa Wema kumpikia chakula huyo chalii?
Wacha wee,Muajemi huyoooπππ
Wewe unajua Rose Muhando aliukimbia Uislam lini!? Na wakati huo alikuwa anajulikana na nani!? Au unadhani alipokuwa anaimba "Nibebe Nibebe" alikuwa Muislamu!? Bila kufanya hii gospel music, bila shaka wewe, mimi na waTz wengine tusingemfahamu, kwani hakuwa akifanya chochote cha kumuweka machoni mwa public.Uislamu ni mkubwa kuliko mtu mmoja mmoja
Nani anamzungumzia Rose Mhando kubadili dini itakuja kuwa Wema kumpikia chakula huyo chalii?
Wewe unajua Rose Muhando aliukimbia Uislam lini!? Na wakati huo alikuwa anajulikana na nani!? Au unadhani alipokuwa anaimba "Nibebe Nibebe" alikuwa Muislamu!? Bila kufanya hii gospel music, bila shaka wewe, mimi na waTz wengine tusingemfahamu, kwani hakuna akifanya chochote cha kumuweka machonimwa public.Uislamu ni mkubwa kuliko mtu mmoja mmoja
Nani anamzungumzia Rose Mhando kubadili dini itakuja kuwa Wema kumpikia chakula huyo chalii?