Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Halafu watu haohao wana roho mbaya halafu wanataka eti muingie peponi wote ili hali hawakupendi, kama sio unafiki ni niniHizi dini ni comedy show, mambo ya kung'ang'azina kwenda peponi wakati kila mtu kaja duniani kivyake na ataondoka kivyake
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mtu hawezi kukukalibisha kwake hapa duniani lakini anakukomalia mwende nae peponiHalafu watu haohao wana roho mbaya halafu wanataka eti muingie peponi wote ili hali hawakupendi, kama sio unafiki ni nini
Hivi na wewe unaamini kuna mtu anahangaika na wema?Povuu hakuna kulazimishana mtu ameamua kuishi hivyo hajavunja sheria achana nae, watu mapovu mapovu maisha ya mtu yanakukera kiasi hicho
Siamini katika hiloHivi na wewe unaamini kuna mtu anahangaika na wema?
Uislamu ni mkubwa kuliko mtu mmoja mmoja
Nani anamzungumzia Rose Mhando kubadili dini itakuja kuwa Wema kumpikia chakula huyo chalii?
Kaka wewe endelea kuandamana tu, Tz mapadri wa katoliki waliuawa wawili tena kanisani na hakuna kesi hadi Leo. Waislam wako wazi sio kama nyie mnayafanya lakini kwa kifichoAlipitia mateso sana baada ya kubadili, huwa mumeagizwa kumuua yeyote anayehama hiyo dini yenu.
Kaka wewe endelea kuandamana tu, Tz mapadri wa katoliki waliuawa wawili tena kanisani na hakuna kesi hadi Leo. Waislam wako wazi sio kama nyie mnayafanya lakini kwa kificho
Unazani wale mapadri wamekufa kisa dini ya nani?Uwazi gani wa kukata watu vichwa kisa dini ya mwarabu....
Unazani wale mapadri wamekufa kisa dini ya nani?