Kwanini? Waislamu wanaficha sura au taswira ya Mtume Muhammad (s.w.a)

Kwanini? Waislamu wanaficha sura au taswira ya Mtume Muhammad (s.w.a)

Kevzy

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2026
Posts
976
Reaction score
1,712
Kwema

Science na technology iliyopo Sasa Duniani inaweza kupata muonekano wa sura za watu mbali mbali za kale

Tumesikia mchakato wa mfanano wa sura ya yesu ulivyopatikana mpaka kupata michoro inayotumika katika baadhi ya vitabu vya kidini

Mtoa mada anaomba jibu la kimkakati kama una hasira au jazba tukana alafu nenda , matusi yanaruhisiwa na ukitukana tunakuhesabu katika wale watu ambao Wana elimu ya kawaida ambayo Kuna vitu unatakiwa ufichwe Ili uendelee kuwa muumini wa kawaida

Je? Kwanini waislamu wanapinga na kukataa pakubwa juu ya muonekano wa Muhammad kujulikana, wanafikia mpaka kusema picha ni haramu na hazitakiwi na kupiga picha ni dhambi wakati kwenye maandiko Yao kinachopingwa sio picha ni sanamu ndio haramu

Na ukweli wa mambo wanadhuoni wakubwa Wana picha na muonekano sahihi kabsa wa Mtume Muhammad ila wanaficha na wanayo wachache tu

Swali je? Ni kwanini wanaficha, nimeshawahi kupitia vitabu mbali mbali wanasema kuwa , Kuna mafundisho au taarifa wanatakiwa wapewe watu wenye elimu na waliopo vyema kichwani na taarifa zingine nyepesi nyepesi wapewe watu wenye uelewa wa kawaida

Hii ikimaanisha kuwa Kuna taarifa zinafichwa Kwa kuogopa watu wakaelimika na wasifate haya mambo ya dini, Kuna vitu vingi sana tunafichwa kwenye hizi dini na kuambiwa tofauti Ili tuendelee kuzifata

Kuna vitu vingi tunaambiwa ni dhambi lakini sio kweli, wanaojiita wenye elimu zaidi ya dini wanayofanya na ni ya kawaida tu ila wenye elimu ndogo ya dini wanaamini ni dhambi na wanahofia kabsa kufanya

Mwisho; Kuna namna ya kumuelekea M/Mungu na ni nzuri tofauti na kupitia dini na ni njia ambayo Ina matokeo mazuri na ya haraka yaani ukiijua hiyo njia, utafanikiwa haraka mambo Yako na ni njia inafichwa Kwa nguvu zote, jitahidi uijue kwani imefichwa, ndio njia waliyoitumia manabii kabla ya kuja hizi dini za Sasa

Manabii walimuelekea M/Mungu bila kupitia dini, yaani Moja Kwa Moja Kwa Mungu na kumueleza changamoto zao na M/Mungu akazitatua hapo Kwa hapo na hii njia inatumika mpaka Sasa na Ina mafanikio makubwa sana kwani M/Mungu atakujibu mara baada tu ya kumaliza kuwasiliana naye

Hapa ndio utasikia watu wanakuita mchawi, mwenye baraka, una karma, una miujiza, una kipawa, na sifa zingine Kem Kem, jitahidi ujue hiyo njia ya kumuabudu au kumuomba yeye Moja Kwa Moja bila kupitia dini yeyote

Hitmisho
 
Kobaz typing....
Screenshot_20260710_071612_Facebook.jpg
 
Jerusalem Biography tafuta kile cha mwanzo kabisa kitabu hiki kinaelezea Jews Christian na Muslim ipo sura ya Muhammad anafanana na Falcao kabisa mie nimeshaiona anafanana na Radamel Falcao kasoro ndevu
 
Jerusalem Biography tafuta kile cha mwanzo kabisa kitabu hiki kinaelezea Jews Christian na Muslim ipo sura ya Muhammad anafanana na Falcao kabisa mie nimeshaiona anafanana na Radamel Falcao kasoro ndevu
Msaada wako Mkuu , unitumie hiyo picha dm, tafadhali
 
Back
Top Bottom