Kwanini waislamu wanapingana kuhusu uhalali wa Hadithi?

Hadith zote ni za uongo ila wanaangalia zile nzuri ndo wanasema sahihi. Quran na Hadith zote ni stori za kitoto sana
Hata ukristoni kuna upuuzi mwingi. Ukisoma kitabu cha mambo ya walawi utaona. Eti adhabu ya kusaliti ndoa ni kifo...
 
Wanao zikataa Hadithi hawana Elimu juu ya Uislamu.
 
Utajichangana sana ukiwa "Muislam only Quran" maana hata swala 5 hazipo kwenye Quran bali hadi usome hadithi.
 
Wanaobisha walikuwepo? Ila Muddy namkubali kwa upande wa totoz tu, amekula kila rika😁😁😁Hayo mengine nawaachina wenyewe mimi naunga mkono alivyokuwa anapenda mademu.
 
Shytown nimekuelewa Sana... Sasa nani ana mamlaka ya kusema hii ni Hadithi halali ama hii siyo?

Au kigezo gani cha Quran kitatumika kuikataa Hadithi isiyo halali?

Kimsingi kusudio la hadithi lilikuwa kwa ajili ya ufafanuzi tu mfano; ukisoma sura/Aya Kwenye Quran kama hujailewa unaweza kutafuta hadithi/ historia ya hicho kifungu kuwa kiletwa wakati gani na maksudi yake yalikuwa nini na kukufanya uelewe kwa undani. Hiyo ndio ilikuwa kusudio la msingi la hadithi;

LAKINI sasa waliingia mamluki wakaandika mila za kiarabu na waposhoshaji waka andika habari za kudhalilisha na kuzi ita hadithi.....na hata kwa akili ya kawaida ukisoma walicho andika unaona kabisa huna cha kujifunza...
Hivyo zile hadithi zilizo elezea kila sura ilivyokuja na maana iliyokusudiwa ndio sahihi....
 
Napendaga ile hadith mudi alikuwa akinyonya ndimi za wanaume wenzake na kulamba midomo yao akiwa uchi msikitini.

Hii Hadith inawaumizaga kobaz.

Kuna ile shetani anawapulizia matakoni wakiswali. Yani kobaz inamuuma balaaa.

adriz de mbusii
Hv ni kweli au unawakashfu tu kwamba mudi alikuwa akiwalawiti vijna na kuinyonya ndimi zao ni kweli hyo maana mm usilmu hata kushika Quran naogopa sna sitaki hata kuona kitabu kile
 
Sahih al-Bukhari (3320) anasema mtume aliagiza kuwa iwapo nzi atatumbukia kwenye kinywaji chako, basi unatakiwa kutumia kidole chako kumzamisha kabisa kwa sababu bawa lake moja limebeba magonjwa na jingine limebeba dawa (ya kuponya)
Hii ni kweli ipo au unawasingizia tu makobaz?
 
Napendaga ile hadith mudi alikuwa akinyonya ndimi za wanaume wenzake na kulamba midomo yao akiwa uchi msikitini.

Hii Hadith inawaumizaga kobaz.

Kuna ile shetani anawapulizia matakoni wakiswali. Yani kobaz inamuuma balaaa.

adriz de mbusii
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
HAKUNA MAHALA POPOTE QURAN IMEANDIKA TUFUATE MAFUNDISHO YA HADITHI
Wapotoshaji ndio hung'ang'ania hadithi hasa zile FEKI kwa ajili ya kuuchafua Uislam!
Shekh kma hadithi zipi feki na zinazopotosha?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…