Kwanini waislamu wanapingana kuhusu uhalali wa Hadithi?

Umeacha hadithi moja ya ndoa za mikataba, hadi leo iko Iran... Yaani ukiiona pisi ukailewa unaenda nayo kwa Sheikh unafunga ndoa ya siku moja mkimalizana mnaachana
 
Uoga wako tuu kwakua unaruka ruka toka mwanzo maana hata ishu ya swala 5 kwenye Quran haujaleta ushahidi mada imekuzidi uwezo.
Nilikuuliza utanipa nini nikikuonesha?.. maana nilishaonesha wengi humu,hawakunilipa chochote
 
Mkuu hii yashetani kupuliza matako ya waislam kiukweli sijapenda.Shetani hapa amepitiliza, siyo kwa ushetani huu wakuingia nyumba za ibada na kuwapuliza matakoni na anajua hwavaagi nguo ya ndani mda huoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Shetani mshenzi kabisa..alaaniwe kwa kupuliza wenzio vinyeo
 
Mimi nikwambia ni uongo uliotungwa na wayahudi na vatikani huwezi kukubali
Lakini nikwambia kulikuwa na watakatifu machoko wa kigalatia wawili waliofanywa kuwa Saints na wana mpaka kanisa lao la ukatoliki hautashangaa sababu ni ushoga na ugalatia ni pipa na mfuniko

https://orthodoxyindialogue.com/2019/12/16/ss-sergius-bacchus-and-their-icon-in-gay-christian-apologetics-by-giacomo-sanfilippo/


 
Bukhari katokea zaidi ya miaka 200 baada ya kifo cha mtume, bukhari mtu wa Kazakhstan akaenda ulimwengu wa kiislam kukusanya Hadith
Msome abdallah bin sabai aliyekuwepo kipindi cha mtume na baada ya kufa umjue ni nani na mchango wake
Kwahiyo Hadith za Bukhari unaziamini au huziamini?
 
Wanadai miaka 9 ya kipindi kile cha mtume ni sawa na miaka 19 ya sasa hivi. πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Buhari ni mzuka uliotengenezwa na mashoga ya vatikani na wayahudi
Leta ushahidi wa maandiko ili kuthibitisha haya madai yako. Kuna Quran verses huwezi kuelewa maana yake mpaka ukamsome Bukhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…