Hii post inahusiana vipi na hadithi za Kiislamu?Mimi nikwambia ni uongo uliotungwa na wayahudi na vatikani huwezi kukubali
Lakini nikwambia kulikuwa na watakatifu machoko wa kigalatia wawili waliofanywa kuwa Saints na wana mpaka kanisa lao la ukatoliki hautashangaa sababu ni ushoga na ugalatia ni pipa na mfuniko
https://orthodoxyindialogue.com/2019/12/16/ss-sergius-bacchus-and-their-icon-in-gay-christian-apologetics-by-giacomo-sanfilippo/
Sergius and Bacchus: Paired male saints loved each other in ancient Roman army
Sergius and Bacchus were 3rd-century Roman soldiers and Christian martyrs who loved each other. Their story is told in words and pictures for their feast day Oct. 7. They are by far the best documented, most widely worshiped and most influential male paired saints in Christian history. These...qspirit.net
View attachment 3538158
Mimi siamini Hadith yoyoteKwahiyo Hadith za Bukhari unaziamini au huziamini?
suala la kumuona wa miaka 9 miaka hiyo sio gumu kulieleza, labda kama kuna swali labda ni "kwanini amuoe"Wameanza kupingana karne ya 20 mwishoni baada ya kuona hadithi zinaleta shida kwenye jamii za sasa. Mfano mmojawapo ni hadithi ya Mohamed kumuoa Aisha akiwa na miaka 6 na kuanza kumlala akiwa na miaka 9.
Inakuwa ngumu kumtetea mtume wao,mtume bora kuliko wote kwa kitendo kile . Option pekee inayobaki ni kuja na hesabu zisizo eleweka ili kumuoka Mohamed na ukakasi wa jambo lile.
Yaleyale ya siku 1000 duniani, mbinguni siku moja😁😁😁Wanadai miaka 9 ya kipindi kile cha mtume ni sawa na miaka 19 ya sasa hivi. 😆😆😆
Lets say ingekuwa Yesu alioa mtoto wa miaka 6 , waislam wangeipiga hiyo ngoma mpaka ipasuke. Huwezi kuwa nabii/mtume wa Mungu wa haki,mjuzi wa yote halafu akakupa kibali cha kuoa mtoto.suala la kumuona wa miaka 9 miaka hiyo sio gumu kulieleza, labda kama kuna swali labda ni "kwanini amuoe"
Hahaaaa wewe jamaa angu ujue unanichekesha sanaMimi siamini Hadith yoyote
Kuna mahali nimesema hakujawahi kuwa na maiti ya Muislam mortuary au maiti ya muislamu kusafirishwa? Ninachosema ni utamaduni angalau wa 95% ya waislamu wa Tanzania.Kwamba hapajawahi kuwa na maiti ya muislam mochwari wala kusafirishwa?
Zipo Hadithi za kweli na zipo Hadithi za uongo. Inasemwa nyingine zilitungwa na wayahudi na makafiri na kuingizwa kwenye hadithi za waislamu.Hahaaaa wewe jamaa angu ujue unanichekesha sana
Sasa bila Hadith Kuna uislamu?
Uislamu bila Hadith haijakamilika
Angalau umewaza linaloingia akilini.jambo lingine unalopaswa kufahamu labda hadithi ziliandikwa miaka 200 baadaye baada ya Muhammad kufariki, hivyo maisha yake kwenye hadithi yalielezewa na watu wengine wakati yeye alishafariki 200 to 300 hundred years later, kwa hiyo uwezekano wa porojo na uwongo ni mkubwa sana kwa maana mhusika mkuu alikwishafariki pia waarabu walikuwa wanafwata oral records au masimulizi kwa maneno kama vile sisi tu hawakuwa na utamaduni wa kuandika records kwani hawakujua kusoma wala kuandika, hadithi ziliandikwa based on masimulizi ya waliokumbuka Muhammad alivyoishi miaka 300 baada ya yeye kufa lkn siyo kwamba Muhammad aliacha kumbukumbu zozote popote za kimaandishi ...
Hizo takwimu umezipataje toka nchi hii kubwa!?Kuna mahali nimesema hakujawahi kuwa na maiti ya Muislam mortuary au maiti ya muislamu kusafirishwa? Ninachosema ni utamaduni angalau wa 95% ya waislamu wa Tanzania.
Na hiyo kuswalia na kuzika ndiyo inasemwa kuwa mtu akifa hapo hapo anatakiwa azikwe.
Kasema nani?Hahaaaa wewe jamaa angu ujue unanichekesha sana
Sasa bila Hadith Kuna uislamu?
Uislamu bila Hadith haijakamilika
Naona unataka kufungua mabishano... Hii ya waislamu kutokutaka maiti zao kuwekwa mortuary si jambo la mjadala. Inajulikana hivyo na sehemu kubwa imekuwa ikifanyika hivyo.Hizo takwimu umezipataje toka nchi hii kubwa!?
Mimi dada yangu alikaa mortuary siku mbiliNaona unataka kufungua mabishano... Hii ya waislamu kutokutaka maiti zao kuwekwa mortuary si jambo la mjadala. Inajulikana hivyo na sehemu kubwa imekuwa ikifanyika hivyo.
Hapa Iringa kila siku waislamu wakifa huwa tunaziona juhudi zinazofanyika kuzuia maiti zao kulazwa mortuary. Na sisi kwenye familia zetu hiyo imekuwa ni kawaida.
Sasa kama si sawa ama ni sawa ni jambo la mjadala unaohitaji wajuvi wa mambo ya dini ya kiislamu kulifafanua.
Halipo kwenye Quran,hivyo siyo lazima lakini haikatazwi piagallow bird hii ya kusema kiislamu kuosha na kuvalisha sanda si jambo la lazima kufanyiwa maiti, umelitoa wapi. Kwenye Quran au Hadithi?
Na hoja huanzia hapa. Kwamba kiislamu mtu akifa anatakiwa Kwa haraka sana azikwe ili akaziwahi amali zake huko anapokwenda....na kama mnazika siku hiyohiyo mochwari ya nini!?
kama Yesu angeoa mtoto wa miaka 6 hata waislamu wasingepiga kelele kwa sababu hata wao wanamuhesabu kama Nabii hivyo utetezi ungekua tu kama wa sasa unaotumika kwa Mtume --- and to be fair ufafanuzi wake upo reasonable tu, ndo maana nikakwambia shida labda iwe kulikua na ulazima gani kumuoa maana umri kwa miaka haikua kama sasa --- na kwasababu hiyo unaweza kuona jambo la umri ni criticism ya miaka hii yetuLets say ingekuwa Yesu alioa mtoto wa miaka 6 , waislam wangeipiga hiyo ngoma mpaka ipasuke. Huwezi kuwa nabii/mtume wa Mungu wa haki,mjuzi wa yote halafu akakupa kibali cha kuoa mtoto.
kwa miaka hii kufanya hivyo ni ngumu zama zinabadilika,,, kuhusu nani yupo sahihi au hayupo sahihi inategemea mtafsiri anaegemea angle gani , maana hapo middle east dini zote hazijatofautiana kivileMimi ambaye sio mtume siwezi kuoa mtoto,how come mtume wa Allah aoe mtoto. Sio hivyo tu,yeye ni mfano wa kuigwa kwa wanadamu wote.
hili la miaka 18 ni debate kubwa zaidi, 18 inatokea wapi maana kuna nchi 18 kuoa + kuolewa marufuku pia, kuna nchi zingine mkoa mmoja 18 ruksa mkoa mwingine wanasema 21Ndiyo maana mpaka sasa waislam wanapinga sheria mpya ya ndoa ambayo inataka mtu awe na miaka 18 ili aruhusiwe kuolewa .
Hakuna sehemu Biblia inatajLakini mkuu roho mtakatifu alimuingilia Mariamu akiwa na miaka 12 tu.
Wewe unaona Mohamed alikuwa sawa kumlala mtoto wa miaka 9? Ambaye alikuja kubalehe alipofikisha miaka 14? Dini sometimes inaondoa common sense vichwani mwetu kwenye mambo ya msingi.kama Yesu angeoa mtoto wa miaka 6 hata waislamu wasingepiga kelele kwa sababu hata wao wanamuhesabu kama Nabii hivyo utetezi ungekua tu kama wa sasa unaotumika kwa Mtume --- and to be fair ufafanuzi wake upo reasonable tu, ndo maana nikakwambia shida labda iwe kulikua na ulazima gani kumuoa maana umri kwa miaka haikua kama sasa --- na kwasababu hiyo unaweza kuona japo la umri ni criticism ya miaka hii yetu
kwa miaka hii kufanya hivyo ni ngumu zama zinabadilika,,, kuhusu nani yupo sahihi au hayupo sahihi inategemea mtafsiri anaegemea angle gani , maana hapo middle east dini zote hazijatofautiana kivile
hili la miaka 18 ni debate kubwa zaidi, 18 inatokea wapi maana kuna nchi 18 kuoa + kuolewa marufuku pia, kuna nchi zingine mkoa mmoja 18 rukra mkoa mwingine wanasema 21
au we unasemaje 17 anatofauti gani na 18 au hata 19?
na kwenye hili mbona unataka kutupia lawama waislamu tu mkuu? miaka 100 nyuma tu hapahapa bongo ndoa according to kanisa/wakristo umri ulikua miaka mingapi? maana mikoani huko mpaka kesho kuna kundi kubwa baada ya darasa la saba watu wanakula pilau (huko wa mikoani hii ni wa dini zote hadi wasiokua nazo)