ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wanakuja na funguo Subiri kidogoHilo swali nimejiuliza nimekosa jibu kwanini nature imechagua usiku ndio watoto wengi wanazaliwa na sio mchana?
Kwa kifupi unamaanisha mtoto siyo wangu? Maana sikumbuki kumuegesha mchana.Kwa kawaida mwanamke hujifungua muda uleule mimba ilipoingia.
Kama mkeo anajifungua kati ya saa 2 asubuhi na saa nane mchana jua hiyo mimba aliipata kipindi anampeleka mtoto shule au wakati anaenda kumchukua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahunga mkono hoja.coz ili kutimia miezi tisa,au zaid,nirazima ifika muda hulehule Masaa yaleyale mliofunga mkataba.hivyo tendon LA kutafuta mtoto, Mara nyingi hufanywa ucku..na mchana inakua nadra.Kwa kawaida mwanamke hujifungua muda uleule mimba ilipoingia.
Kama mkeo anajifungua kati ya saa 2 asubuhi na saa nane mchana jua hiyo mimba aliipata kipindi anampeleka mtoto shule au wakati anaenda kumchukua.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππKwa kawaida mwanamke hujifungua muda uleule mimba ilipoingia.
Kama mkeo anajifungua kati ya saa 2 asubuhi na saa nane mchana jua hiyo mimba aliipata kipindi anampeleka mtoto shule au wakati anaenda kumchukua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha kuna watu hapa washaanza kuwaza "hivi wife alijifungua saa ngapi."Kwa kawaida mwanamke hujifungua muda uleule mimba ilipoingia.
Kama mkeo anajifungua kati ya saa 2 asubuhi na saa nane mchana jua hiyo mimba aliipata kipindi anampeleka mtoto shule au wakati anaenda kumchukua.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kifupi unamaanisha mtoto siyo wangu? Maana sikumbuki kumuegesha mchana.
πππ umepigwa changa la jicho wanawake so watu wazuri kudadekiKwa kifupi unamaanisha mtoto siyo wangu? Maana sikumbuki kumuegesha mchana.
Mida kujifungu saa 6 mpk nane usikuTena usiku wa manane
Sio kuzaliwa tuu,
1. hata kufa watu wengi hufa mida hiyo
2. Wanga wengi ndio mida yao hiyo
3. Kwa wanaotaka kumkabili Mola wao ndio mida ya ibada hiyo
4. Ndoto nyingi huotwa mida hiyo
5. Mapinduzi mengi Duniani yamefanyika mida hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kawaida mwanamke hujifungua muda uleule mimba ilipoingia.
Kama mkeo anajifungua kati ya saa 2 asubuhi na saa nane mchana jua hiyo mimba aliipata kipindi anampeleka mtoto shule au wakati anaenda kumchukua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kawaida mwanamke hujifungua muda uleule mimba ilipoingia.
Kama mkeo anajifungua kati ya saa 2 asubuhi na saa nane mchana jua hiyo mimba aliipata kipindi anampeleka mtoto shule au wakati anaenda kumchukua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo swali nimejiuliza nimekosa jibu kwanini nature imechagua usiku ndio watoto wengi wanazaliwa na sio mchana?