Kwanini wajawazito wanajifungua Sana usiku kuliko mchana

Kwanini wajawazito wanajifungua Sana usiku kuliko mchana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Hilo swali nimejiuliza nimekosa jibu kwanini nature imechagua usiku ndio watoto wengi wanazaliwa na sio mchana?
 
Mamaenu aliwaleta wenzenu wote mchana, hiyo inategemea uzao wenu na hukufanya utafiti hata kuuliza kwa jirani zako.
 
Tena usiku wa manane
Sio kuzaliwa tuu,
1. hata kufa watu wengi hufa mida hiyo
2. Wanga wengi ndio mida yao hiyo

3. Kwa wanaotaka kumkabili Mola wao ndio mida ya ibada hiyo

4. Ndoto nyingi huotwa mida hiyo

5. Mapinduzi mengi Duniani yamefanyika mida hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida mwanamke hujifungua muda uleule mimba ilipoingia.
Kama mkeo anajifungua kati ya saa 2 asubuhi na saa nane mchana jua hiyo mimba aliipata kipindi anampeleka mtoto shule au wakati anaenda kumchukua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahunga mkono hoja.coz ili kutimia miezi tisa,au zaid,nirazima ifika muda hulehule Masaa yaleyale mliofunga mkataba.hivyo tendon LA kutafuta mtoto, Mara nyingi hufanywa ucku..na mchana inakua nadra.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena usiku wa manane
Sio kuzaliwa tuu,
1. hata kufa watu wengi hufa mida hiyo
2. Wanga wengi ndio mida yao hiyo

3. Kwa wanaotaka kumkabili Mola wao ndio mida ya ibada hiyo

4. Ndoto nyingi huotwa mida hiyo

5. Mapinduzi mengi Duniani yamefanyika mida hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mida kujifungu saa 6 mpk nane usiku
Mida kufa 9 mpk 11 alfajili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida mwanamke hujifungua muda uleule mimba ilipoingia.
Kama mkeo anajifungua kati ya saa 2 asubuhi na saa nane mchana jua hiyo mimba aliipata kipindi anampeleka mtoto shule au wakati anaenda kumchukua.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee hapo kwa kumpeleka mtoto shule imekaaje?

Yaani anaokota mimba njiani?
 
Back
Top Bottom