Sikuungi mkono kwa sababu hata ng'ombe nao mara nyingi wanazaa usiku lakini asilimia kubwa wanapandana mchanaKwa kawaida mwanamke hujifungua muda uleule mimba ilipoingia.
Kama mkeo anajifungua kati ya saa 2 asubuhi na saa nane mchana jua hiyo mimba aliipata kipindi anampeleka mtoto shule au wakati anaenda kumchukua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamuulize Mheshimiwa NassaryHilo swali nimejiuliza nimekosa jibu kwanini nature imechagua usiku ndio watoto wengi wanazaliwa na sio mchana?
Mkuu, hili la ng'ombe kuzaa usiku ninakataa kwa sauti ya kilugha 'yhayha' maana yake 'big no'Sikuungi mkono kwa sababu hata ng'ombe nao mara nyingi wanazaa usiku lakini asilimia kubwa wanapandana mchana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa utafiti wako unaweza kufanya watu wakatae watoto zaoπππ afadhali ungesema uchungu huanza mida ambayo mimba iliingia ila kuzaa inategemea kwakua mimba nyingi zilitungwa usiku hivyo wazazi wengi hujifungua usikuKwa kawaida mwanamke hujifungua muda uleule mimba ilipoingia.
Kama mkeo anajifungua kati ya saa 2 asubuhi na saa nane mchana jua hiyo mimba aliipata kipindi anampeleka mtoto shule au wakati anaenda kumchukua.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu jamaa ujue anaweza kuvunja ndoa za watu kimasihara masihara hivi hiviππHa ha ha kuna watu hapa washaanza kuwaza "hivi wife alijifungua saa ngapi."
Siyo kweli, ukienda hospital kubwa za mijini labor mda wote iko busy.Hilo swali nimejiuliza nimekosa jibu kwanini nature imechagua usiku ndio watoto wengi wanazaliwa na sio mchana?
Na ukiangalia ngombe wanaenda kupandwa mchana so lazma ajifungue mchanaMkuu, hili la ng'ombe kuzaa usiku ninakataa kwa sauti ya kilugha 'yhayha' maana yake 'big no'
Kati ya ngo'mbe 10 wanaozaa ni 1 au2 wanaweza kuzaa usiku, lakini % kubwa ni mchana.
Wengine tumezaliwa na kukulia kwenye mazizi ya ng'ombe, sijibu kwa kubahatisha.
Sent using Jamii Forums mobile app