Kwanini wajawazito wanajifungua Sana usiku kuliko mchana

Kwanini wajawazito wanajifungua Sana usiku kuliko mchana

Kwa kawaida mwanamke hujifungua muda uleule mimba ilipoingia.
Kama mkeo anajifungua kati ya saa 2 asubuhi na saa nane mchana jua hiyo mimba aliipata kipindi anampeleka mtoto shule au wakati anaenda kumchukua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuungi mkono kwa sababu hata ng'ombe nao mara nyingi wanazaa usiku lakini asilimia kubwa wanapandana mchana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuungi mkono kwa sababu hata ng'ombe nao mara nyingi wanazaa usiku lakini asilimia kubwa wanapandana mchana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hili la ng'ombe kuzaa usiku ninakataa kwa sauti ya kilugha 'yhayha' maana yake 'big no'
Kati ya ngo'mbe 10 wanaozaa ni 1 au2 wanaweza kuzaa usiku, lakini % kubwa ni mchana.
Wengine tumezaliwa na kukulia kwenye mazizi ya ng'ombe, sijibu kwa kubahatisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida mwanamke hujifungua muda uleule mimba ilipoingia.
Kama mkeo anajifungua kati ya saa 2 asubuhi na saa nane mchana jua hiyo mimba aliipata kipindi anampeleka mtoto shule au wakati anaenda kumchukua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa utafiti wako unaweza kufanya watu wakatae watoto zao😀😀😀 afadhali ungesema uchungu huanza mida ambayo mimba iliingia ila kuzaa inategemea kwakua mimba nyingi zilitungwa usiku hivyo wazazi wengi hujifungua usiku

Ukisema kuhusu muda mimba ilitungwa ndio mda wakujifungua utaibua maswali mengi kisha utakosa majibu mfano

Mama aliyepata uchungu, akapelekwa hospital akajifungua kwa operation vipi hapo?

Je ina maana mda wa anaofanyiwa operation ndio mda mimba iliingia maana wengine wanakomaa na uchungu siku mbili mpaka wanaongezewa drip za uchungu wapi hatimaye wanapigwa operation.
 
Mkuu, hili la ng'ombe kuzaa usiku ninakataa kwa sauti ya kilugha 'yhayha' maana yake 'big no'
Kati ya ngo'mbe 10 wanaozaa ni 1 au2 wanaweza kuzaa usiku, lakini % kubwa ni mchana.
Wengine tumezaliwa na kukulia kwenye mazizi ya ng'ombe, sijibu kwa kubahatisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukiangalia ngombe wanaenda kupandwa mchana so lazma ajifungue mchana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom