Kwanini wakaka mnapenda sana "makalio yetu" wanawake......na nyie simnayo?

Mwanamke hupendwa kwa kuonekana maeneo ambayo kiukweli hayapaswi kuonekana ndiyo maana wanafanya hivyo
 
Hii kitu hata mm nimekua nikijiuliza sana ila nadhan it comes automatic yani kuna kitu unakipenda toka kwa mwanamke ila sielewi tako linakuwaga na nn,maana huyafanyii kitu chochote zaid ya kuyashikashika tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] kweli? Unayaangalia tu? Una bahati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…