Kwanini wakaka mnapenda sana "makalio yetu" wanawake......na nyie simnayo?

Kwanini wakaka mnapenda sana "makalio yetu" wanawake......na nyie simnayo?

Hii kitu hata mm nimekua nikijiuliza sana ila nadhan it comes automatic yani kuna kitu unakipenda toka kwa mwanamke ila sielewi tako linakuwaga na nn,maana huyafanyii kitu chochote zaid ya kuyashikashika tu
Yani wewe unaishia kuyashikashika tu! [emoji134] lete chura kwetu sie wajuzi utajua kwanini tunapenda hiyo kitu
 
Nitakujibu kwa swali hivi kwani nini Wanawake huwa mnapenda picha za kuonyesha matako?
 
Wewe yetu unayatakia nini? Halafu habari ya kuongelea makalio ya kiume huku ukiyafananisha na hayo ya kike pichani uache. Kwanza kama alivyosema mchangiaji mwingine, ninyi mna matako, sisi tuna makalio.
Usitake kuchanganya mambo tukakatiana stimu.
Halafu kwanza ninyi yenu mnayaonyesha wenyewe, mara mpige picha huku mnajichungulia kwa nyuma, mara sijui mjibinueje, yaani ili muradi utadhani basi limekata centre bolt
 
Takoz kwangu ni kama annoying ads za kwenye free apps, zimekuwa nyingi mno. Uki-close hii inafunguka ile, kero.
Kama huamini ingia town, unamkodolea huyu, akikunja, ametokezea mwingine kabeba chura.
Gonga glass, wewe ni kidume. Cheers.
 
Wewe yetu unayatakia nini? Halafu habari ya kuongelea makalio ya kiume huku ukiyafananisha na hayo ya kike pichane uache. Kwanza kama alivyosema mchangiaji mwingine, ninyi mna matako, sisi tuna makalio.
Usitake kuchanga tukakatiana stimu.
Halafu kwanza ninyi yenu mnayaonyesha wenyewe, mara mpige picha huku mnajichungulia kwa nyuma, mara sijui mjibinueje, yaani ili muradi utadhani basi limekata centre bolt
[emoji108]
 
Ningeshangaa usingeweka picha.
Nilitaka niseme neno ila acha nipite tu[emoji126]
 
Back
Top Bottom