Mc Zipompapompa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 296
- 289
Yani wewe unaishia kuyashikashika tu! [emoji134] lete chura kwetu sie wajuzi utajua kwanini tunapenda hiyo kituHii kitu hata mm nimekua nikijiuliza sana ila nadhan it comes automatic yani kuna kitu unakipenda toka kwa mwanamke ila sielewi tako linakuwaga na nn,maana huyafanyii kitu chochote zaid ya kuyashikashika tu
Lakini si unajambiaga hayo shehe, kazi hiyo haitoshi? au unataka waungwana waje kuwekeza na kyapatia kazi nyingine?Yetu hayana kazi
Ha ha ha haaaLabda mamayako, wewe na dada zako ndiyo wanamakalio ila mimi kwetu wanaume tu ndiyo tuna makalio wanawake wote wanamatako..! Na siye wanaume tunapenda matako hatupendi makalio.
Wewe yetu unayatakia nini? Halafu habari ya kuongelea makalio ya kiume huku ukiyafananisha na hayo ya kike pichani uache. Kwanza kama alivyosema mchangiaji mwingine, ninyi mna matako, sisi tuna makalio.
[emoji108]Wewe yetu unayatakia nini? Halafu habari ya kuongelea makalio ya kiume huku ukiyafananisha na hayo ya kike pichane uache. Kwanza kama alivyosema mchangiaji mwingine, ninyi mna matako, sisi tuna makalio.
Usitake kuchanga tukakatiana stimu.
Halafu kwanza ninyi yenu mnayaonyesha wenyewe, mara mpige picha huku mnajichungulia kwa nyuma, mara sijui mjibinueje, yaani ili muradi utadhani basi limekata centre bolt