malogi1976
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 297
- 168
Haaaaa mbavu zangu wewe. ...kuna wanaume wengine wanakuwaga na flaaattt kwelikweli kama hakuna kimeingia ndani mno Haaaaa kama limejibana sijui nikuelezeje ila umenimaniliza baseball players lolHata mimi sipendi mwanaume flat screen khaaa....
Mwanaume mwenye katako flani hivi kama wale baseball players[emoji39] [emoji39] [emoji39] anapendeza....
Yesss fresh hata mimi napenda hiyo[emoji23] kama hawa napenda sana.
Nimekuelewa [emoji23]Haaaaa mbavu zangu wewe. ...kuna wanaume wengine wanakuwaga na flaaattt kwelikweli kama hakuna kimeingia ndani mno Haaaaa kama limejibana sijui nikuelezeje ila umenimaniliza baseball players lol
What about face? Would you rather a girl mwenye USO nzuriii sanaaaa au mwenye mshepu lkn sura hana au ya kawaida?Hiiiii noma xana .............ila anyway........ndo thamani ya mwanamke........ilipo kwa "physical appearence"
Supu yake safi haichoshiHeeee matumizi ya nin?
Tako lina raha yake bana,sura ata mbuzi anayo,tena ukipata lile la asili,mtoto yuko ndani kavaa khanga lani[emoji39] [emoji39] [emoji39] yaani unageuka kuku ghaflaTako ni kitu ingine
Sura mbaya shape bomba,hapana kwa kweli, ni bora sura nzuri ya wastani na shape bomba kuliko sura nzuri sana halafu shape ya umbo namba moja.What about face? Would you rather a girl mwenye USO nzuriii sanaaaa au mwenye mshepu lkn sura hana au ya kawaida?
Hahhahhahah anakwambia yeye vimbaumbau labda itokee tu.Hilo kamuulize Sheikh Kipozeo.
Mimi mwenyewe napenda miss bantu.