kudath omar
Senior Member
- Mar 18, 2018
- 173
- 209
Ambaye hana akili ni mshia anayetumia social media za makafiri!, gari za makafiri and everything from MAKAFIRI JF haina miaka 20
Nadhani tunaelewana
uislamu unategemea kudhoofisha imani nyingine ili wenyewe uendelee na hili huwezi kulipinga.Hapa ungesoma vzuri mr. Unaweza hata kugoogle madina charter mkataba ambao mtu aliingia na viongozi wa kiyahudi na kikristo ili kila mmoja aendee na imani yake bila kuathiri imani nyingine. Na ukumbuke hapa uislam ulikuwa umetawala alkuwa anaweza kusema tu kuanzia leo marufuku uyahudi na ukiristo. Ila aliingia nao mkataba wa kuwalinda na kulinda imani yao.
Katika utawala wa khalifa wa pili umar (r.a) yeye alienda mbali. Alifuta kodi kwa wakristo na wayahudi wasio na nyenzo katika kuzalisha mali (wasio waislam kwenye utawala wa kiislam wanalipa kodi ambayo inaitwa jizya na waislam wao wanalipa zakkah na zakkah ni kubwa kuliko jizya) na badala yake alkuwa anawapa mahitaji kutoka katika hazina ya mali. Je hapa unasema kuwa uislam kuendelea kwake unategemea kudhoofisha imani nyongine!!!??
usichangane pale tunaposema dini sahihi mbele ya mwenye mwenyezi mungu ni uislam. Na dini kinyume na uislam sio dini sahihi ukasema et hapa tunatukana dini nyingine.
Spain walifanya nini?Ukisoma mfululizo wa kuhuisha uislam hukuti mahala uislam ulkuwa ukiingia mahali et unadhoofisha imani ya sehem husika. Ila watu wanavutiwa na uislam automatically imani nyingine inakosa nguvu na uislam unakuwa dominant
Sio utamaduni wetu kutangaza watu eti amebadilisha imani jamani amekuwa Mkristo never! Na hata wanaofanya ni show off tu.π π π π π π π mbona ziara ya papa saudia arabia ilitangazwa saana tu na almost alisifiwa sana kama mpenda aman..suala la watu kubadili dini hilo mimi sikulisikia na kama lilitokea ninyi ndo mlipaswa kulitangaza na tulifaham kama tulivyoifaham ziara yake.
Hiki kinawasumbua sana tena sana.Kuhusu waislam kuwa wachache (its a relative term) ila hilo halitusumbui kichwa saana..haki haidhihirishwi kwa wingi wa watu, haki itabaki kuwa haki hata kama dunia nzima wakiikana na batili itabaki kuwa batili hata kama dunia nzima wakiikubali kama haki.
Nimejaaribu kuelezea hapo juu sababu za nyie kuongezeka katika idadi..na sisi kubaki tulipo au kuongezeka kwa kiasi kidgo.
Kama hivi eeeh?Sijaipitia hiyo page USA nini sijui..ili hichi ndo kinafanyika hata kwa waislam..kutupa habari tu kuwa hapa tuna mgeni.
Hii ndio big mission ya uislamu na ndio maana unasema ukiingia ukatoka uuliwe! Unaweza kuniambia kwanini?Nilpokuwa shule advance nilisilimisha watu kama wa5 hivi na katika ikifika kipindi cha dini its just kusalmia na kujitambisha na kusema alkuwa dhehebu gani na sasa hivi anaitwa nani (kama alibadili jini)
Kadhalika nilipokuwa chuo kikuu pia nilisimisha wapatao wa3 mwendo ulkuwa ni huo huo just kujitambulisha na mahali tu.
Watu mkiwasilimishaga huwa hamtaki wawaeleze kilichowatoa?Kwa ujumla ndugu yangu DeWitt J hiyo ya mtu akisilimu aanze kuzungumza namna alivyokuwa kwenye ukristo haipo kabsa kwenye uilsam na hata ukiangalia haina logic yeyote kufanya hivyoo.
Kuwa muarabu ina maana huyo mtu ana vinasaba vya Muhammad na sitaki kuamini kwamba muislamu muarabu (acha muislamu jina) anaweza akawa anazidiwa na mmatumbi kuujua.Mwisho kabsa sio kwamba mtu akiwa warabu ndo mjuaji sana wa dini ya uislam, uislam ni dini ya kiulimwengu na ubora wa uchamungu wa mtu hautegemei geographical location. Kuna warabu washenzi teena washenzi na waweza kuta anaishi katika mji aliozaliwa mtume. Mtu kuwa warabu sio tiketi ya ubora katika hii dini.
rnet wirelessly walikuwa wanatumia dual band GSM 1800 MHz na 900 MHz wewe hela za kununua vocha uweze kutumia hii internet back those years ulipata wapi hata mtoto wa waziri hapa alikuwa hawezi.ooh,unaijua The Grid?
Watu tupo mtandaoni tangu 2002 mkuu,
Kwa hiyo jamaa alikuwa anaanzisha nyuzi huko The Grid kuhusu ulaji wa Nguruwe akahamia na Jambo na mpaka sasa Jamii bado tu anaanzishaga?Hiyo Ni approx 20,,so jiulize,kula kwangu nguruwe ama kutokula kwanini kumshughulishe mtu?,kwanini mtu apoteze muda kuanzisha uzi kila mwaka kwa ishu Kama hiyo,
Unajifanya huwajui makafiri leo au sio π acha kutumia vitu vyao. Na kawaeleze mashia wenzio mjenge miundombinu yenu mtengeneze project yenu kama WordPress and everything on your own vitu vya makafiri viache.Reasoning yako pia ya kitoto,eti sijui kwanini mtu atumie intanet,gari za makafiri,,kwani kafiri ndo Nini?na inahusianaje na kutumia social media au gari?
Sure.Tatizo ni dogo tu, imani yenu kuna maeneo imejikita na kuota mizizi na hayo maeneo kuna mambo ya ajabu sana na maendeleo hakuna.
Kuna kijiji sitakitaja jina kipo mkoa wa Singida aisee ukifika Wakristo unahesabu, huwezi kupoteza hata siku moja kukaa pale ukifika muda wa sala maduka yanafungwa kunakuwa hakuna huduma kabisa hata Zanzibar ina afadhali.
Pia Ukristo vijijini umetambaa sana si nadra kukuta kijiji kina Msikiti mmoja au hakina kabisa na Makanisa yapo saba au kumi na yote yamejaza watu, vilevile mijini unaweza kupata Msikiti mikubwa tu ila ipo mitano au sita lakini Makanisa 20 yenye ujazo wa watu kuanzia mia tano na haya madogo madogo yenye watu 50-300.
Kama umewahi kufika Mtwara na wilaya zake utakuwa shuhuda Waislamuni wengi sana na wanaoleta uchangamfu wa kibiashara si wenyeji wa pale. Hata Tabora mjini na Lindi pia umwinyi na udini uliopindukia unadumaza sana maendeleo.
We jamaa kwanini umenitaja??.Sasa km hizo mishe hazipo kwenye uislamu,kwanini mashekhe wengi wanafuga majini ??,na ushahidi upo.Hilo ulisemalo ni lakweli... lakini bado haliitii dosari hii imani..hilo ni suala la kimapokeo tu. Kumbuka uislam ulipoingia barani afrika haukuletwa na wajuzi wa dini bali wafanya biashara...hii ikapelekea uislam uhusishwe na vitu kadhaa mfano utumwa. Ila kiuhalisia uislam upo mbali na vitu hvyo. Kuna baadhi ya tamaduni za kiarabu zimejikuta zinaeleweka kama misingi ya uislam wakati ni kinyume kabsa na uislam upo mbali n vitu hvyo. Mfano kupiga ramli, kusoma nyota, hizo habari za kufuga majini CHAULA RICH yote hayo ni mambo ambayo yapo mbali na uislam na ni mambo ambayo yanadumaza uchumi ila kwa uhaba wa ufaham wengi waislam wamejkuta wakiyaamini km sehem ya imani (japo ukiwauliza marejeo ya kimaandiko hawana) na unakuta yamejkita zaidi kwenye maeneo ambayo uislamu ulianza kufika.
Kiufupi sisi waislam ambao tunauono wa kisomi na tumeousama uislam halisi bila kuchanganya uarabu i can say "WE HAVE MANY THING TO DO"
Uko sahihi kabisa ndugu yangu. Yaani hawa jamaa wanatumia nguvu nyingi sana kuieneza dini yao.Niliwahi kuhudhuria semina moja kuhusu dini hii ya kiislamu jinsi inavyojieneza,mbinu wanazotumia zipo sita.Hakuna anayetaka kuitia dosari imani yako, najua unafahamu kuwa Ukristo hautegemei kuikosoa, kuitukana wala kuifanya chochote imani nyingine yoyote ili wenyewe uendelee au uungwe mkono na wengi.
Uislamu unategemea na iko toka enzi za muasisi wake kwamba Ukristo na Uyahudi ufe ama upungue ili wenyewe ukue. Ndio maana leo hii kujengwa msikiti au kanisa kuwa msikiti ulaya ni breaking news kwenye Islamic world!
Ila Papa kwenda Saudi na kupata wafuasi hata sio story and no one is caring. Na hapa ndipo kunaifanya imani yenu kuwa na wafuasi wachache Tz licha ya kuwa wenyewe ndio ulianza kufika Germany East Africa.
Mimi leo hii nikisilimu ni big story nitatangazwa mtaa mzima na hata kwenye tv za kiislamu, na itanibidi kuanza kuzungumza mabaya dhidi ya Wakristo ili niwavute kama ilivyo desturi yenu. Utakua shahidi katika makanisa ya kina Mwamposa, Suguye n.k wanapata waislamu wengi sana na wanabadili dini wao wenyewe bila hata kuambiwa wala kushawishiwa na hakuna anayezungumzia, kujisifia wala kuwatangaza kwenye media zao.
Acha uongo wewe,huoni soni???.Ninyi jamaa kwa kujitangaza ndo wenyewe.Mbona kama umeongea kinyume. Habari za ushuhuda zipo makanisani..sisi ni katazo kubwa mtu kunadi upotevu baada ya kuongoka. (Kuwa katika njia ya haki)
Tukiamua kumwaga mifano hapa mbona utabaki huna mfano kwa upande wetu. Ila kwenu nyie daaahh ajabu sasa mtu kishabadili dini kawa mkristo akienda kutoa uhuhuda kanisani anavaa kanzu et.
Na wewe ni mlaji mzuri wa kitimoto unadhani watu hatukujui!!!.Najua kuanzia Jumatatu kiti moto itakutambua wewe ni nani,utaitafuna hadi majogoo.Hawanaga akili Hawa watu,yaani kuhangaika kote kuanzisha uzi lengo Ni kiti Moto,na hizi nyuzi zinatokea a kila mwaka Leo mwaka wa 20 sasa
Mbona wewe unagonga bia na kitimoto na kufanya ufusika hatujakuita Kafiri,mwenzio kupanda gari ya Mkristo tu eti kakosea?!!!.Waislamu watu wa hovyo sana,japo sio wote,ninao jamaa zangu wachache ndo wastaarabu,wengine hovyo ukiwa na wewe.Ambaye hana akili ni mshia anayetumia social media za makafiri!, gari za makafiri and everything from MAKAFIRI JF haina miaka 20
Nadhani tunaelewana
Tena Mimi hupendelea supu ya kitimotoNa wewe ni mlaji mzuri wa kitimoto unadhani watu hatukujui!!!.Najua kuanzia Jumatatu kiti moto itakutambua wewe ni nani,utaitafuna hadi majogoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
rejea vita vya jihad alivyopigana mtume wao.
Mbona wewe unagonga bia na kitimoto na kufanya ufusika hatujakuita Kafiri,mwenzio kupanda gari ya Mkristo tu eti kakosea?!!!.Waislamu watu wa hovyo sana,japo sio wote,ninao jamaa zangu wachache ndo wastaarabu,wengine hovyo ukiwa na wewe
Kuwa muarabu ina maana huyo mtu ana vinasaba vya Muhammad na sitaki kuamini kwamba muislamu muarabu (acha muislamu jina) anaweza akawa anazidiwa na mmatumbi kuujua.
Kuwa muarabu ina maana huyo mtu ana vinasaba vya Muhammad
Hapa patamu.DeWitt J nenda kasome vizuri hapa mr.
Muhammad (s.a.w) alikuwa mwarabu wa kabila la quraishi kabila ambalo lina koo 10 pekee na mtu alkuwa anatoka kwenye ukoo wa banu hashim wapo dominat macca.
Sio kila mwarabu ana nasaba ya mtume bwana em kasome tena, sitarajii mtu kama wewe kuongea hoja ya kiwango cha chini kama hii.
Huyo mtume na abuubakar rafiki yake mkubwa hawana nasaba kabisa japo wapo kabila moja ila koo tofauti.
Unaweza kunieleza kwanini aliwaua Wayahudi wa kabila la Banu Quraidha wanaokadiriwa kuwa 800-900?
Hiki kisa ni maarufu sana nimeanza kukiuliza toka 2018 na sijawahi kupata majibu.Thibitisha hii dhana kwanza kabla haijakuwa swali
Hiki kisa ni maarufu sana nimeanza kukiuliza toka 2018 na sijawahi kupata majibu.
Unakifahamu tafadhali niambie kwanini aliwaua na tena aliwaua wanaume tu kisha akawapeleka wake zao utumwani