Hilo ulisemalo ni lakweli... lakini bado haliitii dosari hii imani..hilo ni suala la kimapokeo tu. Kumbuka uislam ulipoingia barani afrika haukuletwa na wajuzi wa dini bali wafanya biashara...hii ikapelekea uislam uhusishwe na vitu kadhaa mfano utumwa. Ila kiuhalisia uislam upo mbali na vitu hvyo. Kuna baadhi ya tamaduni za kiarabu zimejikuta zinaeleweka kama misingi ya uislam wakati ni kinyume kabsa na uislam upo mbali n vitu hvyo. Mfano kupiga ramli, kusoma nyota, hizo habari za kufuga majini
CHAULA RICH yote hayo ni mambo ambayo yapo mbali na uislam na ni mambo ambayo yanadumaza uchumi ila kwa uhaba wa ufaham wengi waislam wamejkuta wakiyaamini km sehem ya imani (japo ukiwauliza marejeo ya kimaandiko hawana) na unakuta yamejkita zaidi kwenye maeneo ambayo uislamu ulianza kufika.
Kiufupi sisi waislam ambao tunauono wa kisomi na tumeousama uislam halisi bila kuchanganya uarabu i can say "WE HAVE MANY THING TO DO"