Kwanini wakati wa mvua Makende ya Wanaume wengi hukakamaa na kuleta ushirikiano?

Iko hivi, mwili kawaida una joto la 37°C wakati uzalishaji wa mbegu za kiume(sperm) unahitaji joto la 34-35°C, maana yake ni chini ya joto la kawaida la mwili.

Kwa sababu korodani zinaninginia nje kwa hyo kama joto la nje(external temp.) Ikishuka sana itasababisha ziingie ndani ili kufyonza joto la ndani, na joto la ndani(core temperature) likizidi zitashuka tena nje kufyonza joto la nje.
 
KAMA HAYO NI MAELEZO YA KIDAKTARI UMENIPELEKA DARASANI VIZURI.
 
hivi wakati zinafanya hiyo process huwa mnafeel chochote?
 
Mtoa mada mwogope mola wako.. kwanini hujiulizi ni kwanini nguvu ya fikra inaweza kunyanyua mtaimbo na ukawa unanguvu na mgumu kama mfupa..lkn hivihivi tu huu nyanyui
 
Huyo unayetaka kukimbilia kunisemea Kwake ' kazinusa ' hadi ' pua ' zake zote mbili zimepinda kwa ' kipafyumu ' kilichotukuka kitokacho huko ' mafichoni ' . Tena atafurahi kapata msaidizi wa ' kunusa '.
haya shemeji nakuja palepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…